da! upweke umenishinda minatafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila mmoja ata mpenda mwenzake tena upendo wa kweli (KAMA UNA MKE AU UNAMPENZ APA HAPAKUUSU NI KWA WALE WALIO SINGLE)...
Habari za jioni.
Maneno tajwa hapo juu yamekuwa yakisemwa na wanawake wengi na wanaume baadhi pindi mahusiano yanapovunjika.Bila kuzingatia alikua mpenzi wako wa 1 au wa 873.
Hujiuliza hivi...
Umeolewa three years ago na mkafanikiwa kupata mtoto mmoja unampenda sana mumeo ila ukaja kugundua si mwaminifu yaani ana michepuko yake mingi yenye uhakika ni miwili sasa hii inakuumiza...
Iwe ni mke au mume umebahatika kuwa na mtoto mmoja ambaye mzazi mwenzio labda kwa mapenzi ya Mungu alitangulia mbele ya haki au labda hamkuweza kudumu mkafarakana na kutengana inayopelekea wewe...
Leo ni siku kuu kwangu mimi so nawaakaribisha ndugu wana MMU na wana JF kwa ujumla kunitakia birthday njema. Nawapendeni sana wanafamilia ya Great Thinker forum.
Kwa kuwa siku hizi kuna WhatsApp ndo habari ya muujini siku hizi,sasa nataka ni create Group la Malavi davi na masuala ya mahusiano.
Huko tutaweza kushea Ideas za mahusiano,picha,videos,audios na...
Kila mmoja atasherehekea kadiri ya urefu wa kamba aliyofungwa shingoni mwake
Sherehe hushamiri baada ya hapo sherehe zimefilisi wanaharusi ni kuanzia upya maisha
Ama kweli duniani kuna...
Hey guys....I hope humu ndani ni shwari kabisa.:A S 11:
Kwanza kabisa mahusiano mabaya ni yale mahusiano ambayo maumivu na huzuni vinazidi furaha na ile hali ya kuridhika na mwenzi wako. Ndani...
Wanajamvi,
Kumekuwepo na vitabia vingi vya kuiga toka kwa wenzetu lakini hili lina kila dalili za wazi za wizi kwa wapendanao, utakuta mwanana dada mpo naye kwenye hazara , akiwa na mumewe kila...
Ni Jirani yangu na tunaitana wifi cause mumewe natoka nae Mkoa mmoja.
Jamaa ni dereva (kaka wa jina) wa malori ya michanga katika kazi wale wapakiaji
Wakaelewana sana na kwa bahati pale...
Habari zenu wana mmu.
Wandugu hizi simu ni nzuri sana kwasababu zina turahisishia mawasiliano ukilinganisha na zama zile za barua.
Lakini simu hizi hizi ziki kugeukia utaziona chungu, hasa...
Habari zenu wadau wa Jamiiforums, nimekuwa nikisikia baadhi ya masela wenzangu wakijisifu kuwa wanapiga bao hata saba wakati wa kufanya mapenzi.
Je kupiga bao nyingi ndio kumfanya mwanamke afike...
Kuna mdau mmoja ameniomba ushauri na akaomba pia niwaeleze na nyie wadau ili mumpe ushauri pia apime. Ni kwamba walikutana na binti wakazoeana na siku moja wametoka out lahaula yakawapanda wakala...
Naombeni ushauri wana Jamiiforums.
Kuna ofisa mmoja alinialika kwenye warsha nilikwenda na kushiriki siku kadhaa nikiwa huko akanitaka kimapenzi nikamweleza kuwa Niko kwenye ndoa niliporudi...
Hivi unapotongoza unapendelea kuwepo sehemu gani na akina dada hapo mnapotongozwa mnapendelea muwepo katika mazingira gani.
Kwa upande wangu mimi napendelea iwe kama tumejibanza ka kwa kona ivi...
Hitimisho:
asanteni sana kwa ushauri mzuri wana jf, na wengine ambao wamenishauri kwa pm. Na hii ndio moja kati ya sababu za kujivunia kuwa na forum kama hii ambayo at least inatuunganisha...
Habari za mchana wadau
Moja kwa moja niende pointini, Hivi kunakuwa na nini kinachofanya mpenzi wako wa karibu akasitisha au kubadili style fulani ya maisha ambayo alikuzoesha?
Kwa mfano zamani...
Jamani nimejaribu kufanya uchunguzi mdogo tu nikagundua kuwa wapenzi wa zamani wanachangia sana kuvunjika kwa mahusiano mengi ya watu huachana na wapenzi wao na kuwa na wapenzi wengine wapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.