Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam, Wana MMU! Nimekuwa nikipata shida sana kichwani kuhusiana na jambo hili. Hivi Mungu aliweka viungo hivi kwa ajili ya uzazi au starehe!? Kwa binadamu viungo hivi wengine ni rasirimali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
t
0 Reactions
142 Replies
16K Views
Ki ukweli kimi ni mpenda kusema ukweli zaidi. Na hata inapofikia nimempenda bidada fulani nikipata nafasi ya kuongea nae kama namtaka hupenda kusema ukweli wangu moja kwa moja. hueleza jinsi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kadhalika ninyi wake,WATIINI waume zenu kusudi ikiwa wako wasioliamini neno wavutwe kwa mwenendo wa wake zao . Kujipamba kwenu kusiwe kujipamba kwa nje,yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Inapotokea umemkamata mpenzi wako na mchepuko live nani wa kum-face kati ya mchepuko na mpenzi wako? Mara nyingi naona asilimia kubwa ya wengi huwa wana attack mchepuko wakisahau mchepukaji ni...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Kama mke unampa hela za matumizi halafu anapika msosi haunukii unategemea nini? halafu mchepuko anakukaribisha lunch,lazima kucheat.
0 Reactions
155 Replies
25K Views
Kiongozi wa mtaa ni muhimu sana pale ndoa/mahusiano yanapofikia ktk hali ya kuachana(third party person), bila ya kumpata kiongozi mtenda haki hakika kamwe pale utakapo mshirikisha kiongozi wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Ni mda mrefu sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips na makalio makubwa kiasi flani cha kumvutia mtu yoyote atakae niangalia, matamanio yangu...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
I need a man ..am 23,degree holder,black chubby,if you are interested pm plz... Before that,make sure you are good looking(physically,financially)above all very supportive... Having me around...
7 Reactions
86 Replies
10K Views
Duh kweli vijana tunavyofanya vitu tunatakiwa kuwa makini mm nina umri 21 nafanya kazi kwenye ofice private ..ktk shughuli za kikazi kuna mdada mkampenda naye akanipenda tukaanzisha uhusiano ambao...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Hope mko bien wanajamvi wote wa MMU. Toka nijiunge JF sijawahi kujuta zaidi ya kufurahi, hasa hapa stress free zone. Nawatakia weekend ya bien.Love you all.
1 Reactions
40 Replies
4K Views
A married person must be very cautious about having a friend of the opposite sex. Ideally your spouse should be your best friend. Pouring out your heart and sharing your emotions and feelings...
1 Reactions
3 Replies
962 Views
habarini wanammu,nimelazimika kuandika hii kitu kutokana na video iliyosambaa mtandaoni ambayo inamuonyesha mfanyakazi akimpiga mtoto mdogo mpaka kumuua,kiukweli kitendo hiki kimeniuma na kunikera...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za weekend wadau? Hapa kuna kaujanja kanakotumiwa na wanawake takriban wote pindi anapokutana kimwili na mwanaume kwa mara ya kwanza. Ujanja huo sana sana hufanyiwa wanaume wenye normal...
1 Reactions
79 Replies
16K Views
Jamaa Mmoja Alikuwa Akipiga Story Na Rafiki Zake Kuhusu Masuala Ya Malove, Yeye Alidai Kuwa Bado Anawaogopa Sana Wanawake Japo Anamchumba Na Ndiye Wa Kwanza Kwake Ktk Maswala Hayo Hata Yeye Bado...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa, binafsi ni mzima kiasi coz kichwa kinaniuma. Jana nilikuwa nastorisha na rafiki yangu fulani hivi akawa ananielezea baadhi ya matatizo yake na mpenzi wake ni hivi; huyo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mimi ni mfatiliaji wa habari sana lakini matukio yote ambayo watu ufariki juu ya kiuno, hutokea kwa mwanaume akiwa kwa machangudoa au ma hawara zake. Na hata kuna wakati pia mwanamke hufariki...
1 Reactions
67 Replies
11K Views
huenda ikawa bahati yako kwa wewe unae tafuta mwanaume wa kuwa nae maishani,Mungu ndyo atakuwa ame ku direct kwangu,bahati hyo ooooh,ni inbox nikupe namba,whatsapp pia waweza nichek na telegram
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Salam kwenu wana jamvi. Mtanivumilia kwa urefu wa habari hii. Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mdada ambae alikua na mtoto mmoja, huku nami nilikuwa na watoto wawili (mapacha). Wakati wote wa...
2 Reactions
144 Replies
13K Views
Back
Top Bottom