Nimeshanganyikiwa Sijui ntafanyaje naombeni wenu wanaJamiiForums

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Duh kweli vijana tunavyofanya vitu tunatakiwa kuwa makini mm nina umri 21 nafanya kazi kwenye ofice private ..ktk shughuli za kikazi kuna mdada mkampenda naye akanipenda tukaanzisha uhusiano ambao umedumu kwa miezi 4 mpaka sasa cha ajabu mara ya mwisho kukutana kimwili tarehe 3.09.2012 jana ananipigia cm ananiambia ana ujazito wangu jambo ambalo limenichanganya xana mpaka nkaomba ruhusa niende home naumwa je ni kweli inawekezana au anataka kuniuzia mbuz kwenye gunia naombeni msaada nfanyaje .!kama makosa nimeshafanya sitak kulaumiwa thanks a lot wanajf.
 
mlipima kabla ya kukutana?
 
hivi mtu huna mpango wa kuzaa nae,ipite wiki mbili tu baada ya kudo anaenda kupima mimba?kwa uzoefu wangu hapa mbwa kala mbwa bana!
 
Mkuu,hawa watoto wanatusumbua sana hapa JF,miaka 21 una mpenzi?Halafu eti unampenda!Khaaa!

we achaa tu,ndo tutafanyaje sasa?mara wengine wanauliza nikiliwa koni kuna madhara,mara nataka wa kuzaa nae kwa mkataba mama kanituma,mara ntaka wa kutoka nae weekend hii,mara ukimfanyia hiivi msichana gani atakataa,mara jinsi ya kumla tigo mpenzi wako,bas mradi tu MMU imekuwa kitu gani sijui!
 
wakati mnatusuana bila kinga hukuwaza hili?
Kama kila unaekutana nae unauza mechi, utahudhuria sana hospitali na maduka ya madawa kujitibu magonjwa ya zinaa.
Kaongee na binti huyo ujue kwanza, usijekuta unataka singiziwa tu.
 
Kama hiyo tarehe ni mara ya mwisho na hiyo miezi minne mlikuwa mmeanza ku do, yawezekana kabisa ni yako na kwa hapo jibu liko wazi. Otherwise mimba ikiwa na umri zaidi ya ule mlioanza ku do. Ukipanda mtama usitegemee kuvuna maharage kijana.
 
Inawezekana anayo au anakujaribu kutaka kujua msimamo wako, tuliza munkari kijana usiwe na mapepe mwambie mkapime. Siku nyingine ujifunze ujue matokeo ya ngono ni mimba au magonjwa
 
we achaa tu,ndo tutafanyaje sasa?mara wengine wanauliza nikiliwa koni kuna madhara,mara nataka wa kuzaa nae kwa mkataba mama kanituma,mara ntaka wa kutoka nae weekend hii,mara ukimfanyia hiivi msichana gani atakataa,mara jinsi ya kumla tigo mpenzi wako,bas mradi tu MMU imekuwa kitu gani sijui!
umeona enheee!!!........yaani watoto wanasumbua hatari hapa ila shule zimefunguliwa tayari watapungua, tusubirie likizo ijayo waje tena kuleta kesi zao za kujazana mimba shuleni huko. Mtu anakuja kuuliza hapa habari za kulana koni na demu wake, si aende kwa Bakhresa wana[potengeneza koni ndo atapata maelezo mazuri.
 
Ndo nataka j'tatu nkapime kwa 7 bado cjamini kabisa.
 
Back
Top Bottom