unakuta wife anakupigia simu ukiwa unatoka kazini anakuambia pitia chips nileteeKama unampenda utamfundisha, pia vyuo vya upishi vipo kibao mpeleke akajifunze, niliwahi kuwa mchepuko unaojua kupika wacha we kidogo nihamie, but nikaamua kumpeleka mahala wife akajifunza, now ni mpishi mzuri sana.
unakuta wife anakupigia simu ukiwa unatoka kazini anakuambia pitia chips niletee
Kama unampenda utamfundisha, pia vyuo vya upishi vipo kibao mpeleke akajifunze, niliwahi kuwa mchepuko unaojua kupika wacha we kidogo nihamie, but nikaamua kumpeleka mahala wife akajifunza, now ni mpishi mzuri sana.
unakuta wife anakupigia simu ukiwa unatoka kazini anakuambia pitia chips niletee
utakuwa ujamtendea haki mkeo
Kama ameshindwa kujifunza katika makuzi yake unafikiri itakuwa rahisi kufundishika? kwanza ataona kupika ni adhabu fulan na atajifunza kwa ajiri yako tu na pale mapenzi yanapo kolea yakichuja kwishineyKama unampenda utamfundisha, pia vyuo vya upishi vipo kibao mpeleke akajifunze, niliwahi kuwa mchepuko unaojua kupika wacha we kidogo nihamie, but nikaamua kumpeleka mahala wife akajifunza, now ni mpishi mzuri sana.