Mara nyingi tunasikia na kuona watu wakinyooshewa vidole kua "wanajiuza tu hao" au "anajiuza tu huyo".
Sasa nimejikuta najiuliza Je kujiuza kunaanzia wapi na kuishia wapi? Ni mpaka mtu atilie...
Sorry, I am really sorry. I don't want to do it again. This is my first and may be the last if you agree to help me.
Do you want to get your files back? That is so easy just do this. I want...
I love to feel loved but I cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I have been running in the...
Inakuwaje mdada hujabakwa useme umepata mimba kwa bahati mbaya?
Umetongozwa ukakubali au umejitongozesha mwenyewe mkapanga appointment ya kufanya kale kamchezo ukaenda mwenyewe eneo la tukio...
Jana mchumba akaniomba nimnunulie kitu fulani hivi, ni cha bei kali, nilitaka kusita ila nikawaza sana, nikakumbuka nimehonga kiasi gani kwa wanawake baki tu, kisha nikajisemea nimehonga vingapi...
mm nikijana wa kiaka 22 ninaishi dar cna uwezo mkubwa wa kimaisha kiivyo bt natafuta mpenz mwenye cfa kazaa nzipendazo awe mrefuu mweuc wastan mwembamba spendi mwanamke mwongeaji sana tabia...
Mkuu wa kituo kimoja cha police hapa wilayani Mbozi amemng'ata mhudumu wa bar sehemu za siri wakati wakijiandaa kupeana mambo,tukio hili limetikisa sana vichwa vya watu wengi hapa mbozi,chanzo ni...
Kuna kitu kibaya kilinitokea nikiwa kozi ya uongozi huko Zanzibar mwaka 2009, tukiwa kozi tulikua tunapata mapumziko siku za weekend hivyo kutumia nafasi hiyo kwenda kutembea beach na siku hiyo ya...
Hivi wanajamvi ukimkataza mkeo usiwasiliane na mtu ambaye una mashaka naye naye akaendelea tena namba yake hiyo hajaiandikia jina ina manisha namba hiyo haiko kwenye phonebook yake anamanisha...
Wadau naomba niwachokoze tena kwa haka kaswali uchwara.
Etii ule muda wa kulala ukifika wewe hupenda mwenzi wako akufanyie kitu gani hasa,au akutamkie kitu gani ili usingizi wako uwe murua...
Habari za leo Wandugu.
Kunakitu nataka ku-"share" nanyi. Kwakifupi kuna Binti mmoja alikuwa mpenzi wangu kipindi nasoma chuo wakati yeye alikuwa anasoma sekondari na tukaja kuachana baada ya mimi...
Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu...
Usiku huu ni kama bahasha iliyofungwa hakuna anayejua ndani kuna nini, jikabidhi kwa Mungu maana yeye anajua yote. Usiache kufanya maombi kabla hujalala maana usiku wakati umelala maadui...
Habari za leo mabibi na mabwana.
Huwa najiuliza kuwa, vile vifaa ambavyo vinatumiwa na watengeneza/wasafisha kucha vina usalama kiasi gani? Maanake huwa vinatumiwa na watu wengi na sijawahi kuona...
Habari wanajamvi, nadhani mambo yanaenda vyema.
Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea nyumbani kwangu.
Kanieleza tatizo lake nimeshndwa jinsi ya kumsaidia...
Ninaongelea mahusiano ya muda mrefu yanayoweza fikia ndoa mahusiano mengine hapana.
Nimeandika maana mara nyingi wako (kwa kusoma post zao) watu wenye uhitaji kiukweli lakini unaona kabisa jamii...
Hapo hajawahi kukuambia kama anatumia haya makitu wakati wa game,we unajua show anayopiga ni kutokana na nguvu zake za asili kumbe ni mchina,hamad siku unagundua ni addicted na viagra utachukua...
Inauma sana unaposalitiwa na mpenzi mkiwa eneo moja na jioni mlikuwa wote.
Ndio yaliyonitokea kwa mrembo Neema mwambao lake Tanganyika.Uamuzi wangu tofauti sana na wanaume wengi me nikiprove kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.