Weekend njema wana MMU

Weekend njema wana MMU

chetuntu

R I P
Joined
Jan 10, 2011
Posts
949
Reaction score
112
Hope mko bien wanajamvi wote wa MMU. Toka nijiunge JF sijawahi kujuta zaidi ya kufurahi, hasa hapa stress free zone. Nawatakia weekend ya bien.Love you all.
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
 
Attachments

  • mmmu.jpg
    mmmu.jpg
    9 KB · Views: 119
Hope mko bien wanajamvi wote wa MMU. Toka nijiunge JF sijawahi kujuta zaidi ya kufurahi, hasa hapa stress free zone. Nawatakia weekend ya bien.Love you all.

Thanx na kwako pia . Asante kwa maua mazuri yamepunguza stress
 
Hope mko bien wanajamvi wote wa MMU. Toka nijiunge JF sijawahi kujuta zaidi ya kufurahi, hasa hapa stress free zone. Nawatakia weekend ya bien.Love you all.
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
Thanks Chetuntu
 
Asante mtoto mzuri na wewe pia ufurahie huku ukila ugali na sombe eeehhhh
 
Hope mko bien wanajamvi wote wa MMU. Toka nijiunge JF sijawahi kujuta zaidi ya kufurahi, hasa hapa stress free zone. Nawatakia weekend ya bien.Love you all.
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif

Hivi weekend ishafika tena... ayayaya. ngoja nizime simu.
 
Chetuntu am in love with you...Have a nice weekend too.

Ukipat nauli mwambie konda akushushe boko basihaya, kuna baa inaitwa Etiennes, jamaa wanachoma mbuzi na kuku kwa roho mbaya!!

Ntakulisha.
 
Back
Top Bottom