Wanawake badilikeni basi.nyie kupigwa fix tu

Wanawake badilikeni basi.nyie kupigwa fix tu

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Ki ukweli kimi ni mpenda kusema ukweli zaidi. Na hata inapofikia nimempenda bidada fulani nikipata nafasi ya kuongea nae kama namtaka hupenda kusema ukweli wangu moja kwa moja. hueleza jinsi nilivyo. Hata kama nina mpenzi mwingine husema "ijapokua nina girlfiend au nina mke lakini nimekupenda pia dada wewe". Hapo huwa nimefanya kosa kubwa, kwani huambulia big NO. Mara nyingine nikimwona mrembo mkali humwambia ukweli." dada niketokea kukupenda sana ingawa kiukweli mimi siko vizuri kiuchumi ila mambo yakikaa vizuri huko mbele tutaponda raha kwani kwa sasa natafuta maisha" hakika nakuambia big NO niliambulia.Nilipoona warembo hawapendi ukweli nikabadilisha mashaili yangu.Yakawa 90% fix. da mwanangu nikawa napitiliza malengo.Hivyo nikawa nimegundua kuwa wanawake hawapendi kusikia maneno ya ukweli.wana penda kusikia vitu vitamu masikioni hata kama sio vya kweli.Badilikeni jamani.
 
ingawa si utafiti ila kuna ukweli usio na shaka wa 99%.
 
mapenzi kudanganyana hadi raha ukiongea ukweli imekula kwako.
 
Shit...form 4 uyo tn in another ......!?
 
Uko sawa kabisa, tatizo lako ni mwandiko tu.
 
Hiyo ndio nature mara nyingi wanawake hawapendi wanapopendwa
 
When i get a girl na nikamwambia i love her very much its a big problem na huwa hatufiki mwaka,halafu kuna watu wakanishauri kuwa usimuonyeshe mwanamke kama unampenda!
So whats love??!???
 
When i get a girl na nikamwambia i love her very much its a big problem na huwa hatufiki mwaka,halafu kuna watu wakanishauri kuwa usimuonyeshe mwanamke kama unampenda!
So whats love??!???

Whats love? In Bongo? You wont get any suitable answer?
 
Hata katika hali ya kawaida, mwambie mdada "umependeza dada" utaona reaction yake, hata kama kiuhalisia sivyo. Jaribu tena kwa mwimgine nae mwambie " mbona upo shabby kiasi hicho?"..then angalia reaction yake!!!

Wanawake wanapenda kusifiwa Sana...sijui kwa nini!!
 
Mwanamke ukimsifia anaishiwa nguvu gafla. anakua mpole utadhani anabatizwa.Au utadhani amesahau nauli akiwa ndani ya daladala.
 
mapenzi kudanganyana hadi raha ukiongea ukweli imekula kwako.

Sawa kabisa. Lakini wanawake wengi hukosa wanaume wanaowafaa kwa sababu hukaribisha kudanganywa wao wenyewe. mfano huwa hawataki mtu anaetafuta bali huwa wanataka ambae tayari anacho. Ukimwambia ukweli labda mf mimi kwa sasa sina kazi ila natafuta kazi anakuona hufai. Ukweli kwao huwa ni uongo na uongo kwao huwa ni ukweli.Hivyo kwa vile wanaume huwa wanataka hufuata njia ya mkato.Kupiga fix tu. mambo mengine yatasqwazishwa huko mbele.
 
Back
Top Bottom