Enyi wake kwa waume zingatieni haya.....

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Kadhalika ninyi wake,WATIINI waume zenu kusudi ikiwa wako wasioliamini neno wavutwe kwa mwenendo wa wake zao .
Kujipamba kwenu kusiwe kujipamba kwa nje,yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na kuvalia mavazi; bali kuwe na utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yasiyoharibika yaani ROHO YA UPOLE NA UTULIVU iliyoy athamanikuu mbele za mungu.Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani waliomtumaini mungu na KUWATII WAUME ZAO.Kama vile Sara alivyomtii Ibrahimu akamwita BWANA nanyi ni watoto wake mfanyapo mema wala hamkutishwa kwa hofu yoyote.

Kadhalika ninyi waume,KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI NA KUMPA MKE HESHIMA KAMA CHOMBO KISICHO NA NGUVU na kama warithi pamoja wa neemaya uzima,kusudi kuomba kwenukusizuiliwe.

Neno la mwisho ni hili; muwe na nia moja,wenye KUHURUMIANA,wenye KUPENDANA kama ndugu,WASIKITIKIVU,WANYENYEKEVU,WATU WASIOLIPA BAYA KWA BAYA AU LAUMU KWA LAUMU,bali wenye KUBARIKI kwasababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.Kwa maana,Atakaye kupenda maisha,na kuona siku njema,azuie ulimi wake usinene mabaya,na midomo yake isiseme hila.Na aache mabaya ,atende mema,atafute amani aifuate sana.

Jumapili njema

Waraka wa kwanza wa Petro 3 1:11
 
Hayo maandiko waliweza kuyafuata watu wa enzi zileeee, ukiwa na farasi wa tatu, basi wewe bonge la tajiri. Siku hizi kila mtu kakengeuka. Fedha ndiyo mpango mzima, mengine ni mbwembwe tu.
 
Mtu anataka kujua hata harufu ya perfume mlizopokezana katika daladala la kawe-gongo la mboto zimetokea wapi!Siku hizi ndoa kushneiiii
 
Kadhalika ninyi wake,WATIINI waume zenu kusudi ikiwa wako wasioliamini neno wavutwe kwa mwenendo wa wake zao .
Kujipamba kwenu kusiwe kujipamba kwa nje,yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na kuvalia mavazi; bali kuwe na utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yasiyoharibika yaani ROHO YA UPOLE NA UTULIVU iliyoy athamanikuu mbele za mungu.Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani waliomtumaini mungu na KUWATII WAUME ZAO.Kama vile Sara alivyomtii Ibrahimu akamwita BWANA nanyi ni watoto wake mfanyapo mema wala hamkutishwa kwa hofu yoyote.

Kadhalika ninyi waume,KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI NA KUMPA MKE HESHIMA KAMA CHOMBO KISICHO NA NGUVU na kama warithi pamoja wa neemaya uzima,kusudi kuomba kwenukusizuiliwe.

Neno la mwisho ni hili; muwe na nia moja,wenye KUHURUMIANA,wenye KUPENDANA kama ndugu,WASIKITIKIVU,WANYENYEKEVU,WATU WASIOLIPA BAYA KWA BAYA AU LAUMU KWA LAUMU,bali wenye KUBARIKI kwasababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.Kwa maana,Atakaye kupenda maisha,na kuona siku njema,azuie ulimi wake usinene mabaya,na midomo yake isiseme hila.Na aache mabaya ,atende mema,atafute amani aifuate sana.

Jumapili njema

Waraka wa kwanza wa Petro 3 1:11

Endelea kutulisha chakula cha roho mtumish
 
Hayo maandiko waliweza kuyafuata watu wa enzi zileeee, ukiwa na farasi wa tatu, basi wewe bonge la tajiri. Siku hizi kila mtu kakengeuka. Fedha ndiyo mpango mzima, mengine ni mbwembwe tu.

hata leo hii yawezekana
 
Back
Top Bottom