Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hey in here,I'm looking for cool friends to talk to. Share experiences advices, just what friends can do. I'm 29,friendly n easy to get along with. I work If ur interested pls pm me and I'll...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Looking for a trusted woman
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asiwe zaidi ya miaka 35. Kama uko serious ni pm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani ukikuta kuna maelewano ndani ya ndoa yanayochagizwa na upendo wa dhati wanaanza kusema kamuwekea limbwata, yaani mtu kumpenda mkewe inakuwa nongwa kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kusema kweli sawabu au tunasema msema kweli mpenzi wa Mungu natumai kwa hapo tunakubaliana, mwenzenu mbali ya kutangaza na kutaka ushauri kwa kila ninaloliona lipo njia ya panda kwangu, nakuja JF...
1 Reactions
49 Replies
18K Views
Habari kwenu Unakuta mwanaume unakula chipsi mayai halafu utegemee kumfikisha mwanamke!Mimi nikimuona mwanamme anakula chipsi huwa natamani nimnase bakora kama sita kikwazo kinakuwa ni sheria...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari wapendwa mimi ni msichana. Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa text. Ni kuhusu kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na kitambaa au kidole, ndimu, hata...
1 Reactions
94 Replies
17K Views
Kila mara ninapoenda nchi jirani hapa kenya huwa napenda kufurahia vikundi vya vichekesho hasa pale carnival, napenda kwenda kuangalia churchll show, actually huwa na enjoy sana, big question...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mara nyingi wanaume (wakware na wasiokuwa wakware) wanapokutana na mwanamke mzuri 'aliyejazia' vizuri kwenye 'maeneo yetu yale', utawaona wakigeuka kumtazama. Tabia hii haiko kwa wanaume peke yao...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni mikao ipi (staili) ambayo ni mizuri zaidi kuitumia kufanya wakati wa ujauzito?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na kama hakupi umejiuliza NANI anapewa utundu huo Napita tu
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nina mke wa miaka mitano na kujaliwa na watoto watatu. Tatizo la mke, hajui budget ya nyumbani, akigundua unahela atahakakisha imetumika yote bila kujali kesho, ana tabia ya kuandika uongo...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Nimegundua walioa wana save money, maana mi sigegedi bure, waliooa kupendelea vya bure, nalipia then na doo! Ndomana kunoga. Nikifikiria udhamini niliotumia, ndo nasugua balaa, afu type tofauti...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
ISAYA:4:1 Inasema: Wanawake wasioolewa wataongezeka, na siku itafika wanawake 7 watamshika mwanaume mmoja wakisema utakula chakula chetu na kuvaa NGUO zetu kwa gharama zetu wenyewe, lakini utuoe ...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Zamani miaka hiyo kulikuwa hakuna uhaba wa madada wa kazi na zamani kufeli darasa la saba haikumaanisha hauna akili bali shule za sekondari zilikuwa chache Tangu mpango wa elimu wa shule za...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Science Just Revealed How To Tell If Your Partner Will Cheat On You Did your significant other just catch you cheating? According to a new study, you may be able to blame it on your parents...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Hili nimelinote kwenye ndoa yangu mwenyewe na kwa marafiki zangu. 1.Wanawake wengi hawako tayari kusikia mwanaume anashauri kitu chochote chenye msaada kwa binti wa kazi 2.Akimfokea binti wa...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Wakurya ukimkosea kukusamehe si kazi ndogo nime experience kwa jinsia zote mbili. Rafiki yangu wa kike college mate tulipishana kidogo mpaka leo urafiki wetu una danger. Pia kuna kaka mmoja...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Salaam kwenu wana jamvi. Kipindi hichoo nilivyokua bado kabinti hata sijajua kuvunja amri ile iloyokatazwa mpaka ndoa, kiukweli kigezo changu kikubwa angalau kunifanya nivutiwe na mwanaume...
2 Reactions
119 Replies
11K Views
Jamani kwanza kabisa mnisamehe kama nimekosea spelling za hayo majina, pili kuuliza si ujinga, niliwahi kusoma humu mahusiano ya badieybey na moneystunna hadi kufikia hatua ya kutambulishana...
3 Reactions
109 Replies
7K Views
Back
Top Bottom