Mimi naitwa Can Geofrey nina umri wa miaka 32, natafuta mke wa kuoa awe mzuri wa sura na mwenye tabia nzuri, mkiristo, mwenye umri miaka 18~27, kabila lolote, taifa lolote, elimu yoyote sibagui...
By age niko above 20 mdogomdogo naelekea 30, so mkubwa kihivyo, naamini wapo wengi tu ambao ni rika la wazazi wangu. Nianze kwa kuwasalimia shikamooni. Kwakweli kuna jambo hua linanitatiza sana...
Kuoa kuna umuhimu lakin pia ni jambo linalotakiwa kufanywa upesi kwa wahusika ila kuna ulazima gan wa kukimbilia kuoa au kuolewa kwa kigezo cha umri umesogea?kwa maana wasichana wengi baada ya...
Mabinti mnapenda kudanganywa na hampendi kutumia hata logic,yaani kama huyu mda kama nusu saa nimechati naye namuomba mzigo kaniambia yupo bize hawezi mda kidogo nimemetxt kuhusu suprise angalia...
Habari wanajamvi,
Nikimchezesha straika wangu mechi za kirafiki hasa ugenini anafanya kweli. Yaan ndani ya kipindi cha kwanza anapiga hat trik. Nikija uwanja wa nyumbani hata hakimbilii mpira...
Ushauri Jamani,
Mke wangu ni mlalamishi sana pia ana wivu uliopindukia.Tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja kwa kweli nilikuwa nikipata shida sana yaani nikicheka na msichana yeyote ofisini basi ni...
Mi sijambo,
Life is very tough and is very tough when you're lonely i said its enough. Nahitaji rafiki wa kike ambaye tukiendana tunaweza kua wapenzi, awe mzuri na awe mchakarikaji katika maisha...
Maji yameshanifika shingoni nataka kufanya maamuzi magumu namwacha mke, sababu moja, ameshakua na kiburi dharau mbili, chini sasahivi hakukaliki kama kachanjiwa.
Nikitoka nyuma nae safari tatu...
Mimi ni msichana nina miaka 22, nilipoanza kusoma kidato cha 1,nilikuwa nakaa na dada angu tumezaliwa baba 1mama1 pamoja na shemeji yangu asa hapo nyumbani alikuja mtoto wa mjomba wake na...
Ni miaka mitatu tangu nianze na mahusiano ya mapenzi na mdada mmoja. Naye, tulikuwa na mahusiano ambayo lengo halikuwa kuoana. Lakini kinachonishangaza ananing'ang'ania kiasi kwamba nashindwa hata...
Mimi nauliza kwanini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa, pia kwanini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama...
Huwezi kumiliki mtu. Unaweza kumiliki gari so ni sawa kusema gari langu au nyumba yangu. Si sawa kusema girl friend wangu au boyfriend wangu. Kumbuka mtu anapoingia kwenye uhusiano anaingia kwa...
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu...
Mke mwema anaitajika, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo: Elimu shahada,umri 28 yrs,mkristo safi(lutherani),mrefu na mweusi wa maji ya kunde, nimejiajiri kwenye kilimo cha mpunga kwa sasa, ni...
Salaam.
2011/12 nilikuwa skuli pande flani nafukuzia jiwe la kwanza. Niliamua kuchukua 'ghetto' uraiani badala ya hostel, sikuwa na sababu ya msingi. Hiyo sehemu nilikuwa mwanafunzi peke yangu...
Mgema ni mvunaji wa pombe na tembo bila shaka ni aina ya pombe, sio tembo mnyama katika muktadha huu, sasa mi ni prefessional videographer. Huwa pia nafanya video za sherehe kama harusi mengi huwa...
Ni msichana niliyeishi nae miezi kama 7 tulikua tunaishi poa tu badae kulitokea kutoelewana tukaishi mbali na mbali lakini kwakua nilikua nampenda sana nilimsihi na kujishusha yaishe, lakini yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.