​
If you plan on updating to iOS9, youll have access to some interesting new features, including whats basically a sex diary.
Broadly labeled a sex tracker, the function isnt really...
ndugu zangu wana Jf,
kuna rafiki yangu yamemkuta ya mwaka!
Ameoa miezi mitatu ilopita na wazazi wake wakaja kwenye harus mjini pamoja na shangaz yake,baada ya harusi sasa huu ni mwezi wa3 hawana...
Kuna binti ambae tunapendana sana na tumeahidiana kufunga ndoa, huyo binti ni ndugu wa baba mmoja na mme wa shangazi yangu, namaanisha shangazi yangu anamwita huyo msichana wifi.
Wazazi wetu...
Habari washika dau,
Katika maisha yangu naamini huwezi kuugawa moyo ukawapenda wote wapenzi wa 4.
1. Je wenye wake 4, wanaishije nao?, na yupi hupendwa zaidi 1,2,3 au wa 4?
2. Je hakuna...
Ninaomba mnijulishe kama zile sifa mnazoziweka ndio mnazozikuta kwa wahusika au madudu tofauti? Maana na mimi ninampango wa kutangaza nia humu. Kama utaona hupendezewi kuweka hapa unaweza hata ukaniPM
Hivi mke wako au mpenzi wako wa zamani akidhalilika nawewe ina kuhusu? Tuzo za Kilimanjaro Muzic Awards mdada makalio yako nje aibu tupu.
Nasikia alikua mzazi mwenza wa mbunge ila ana wazimu wa...
Habarini wakuu,
Husika na kichwa cha somo hapo juu. Well, katika maisha na shughuli zetu za kila siku huwa tunapitia (experiences) mambo na mitihani mingi sana hali ambazo wakati mwingine...
Leo mpenzi wangu amenitembelea home maada ya muda mrefu tulichokaa bila ya kuonana. Nikamuomba tutoke kidogo tukatembee, akaniambia nimwache apunzike.
Kumbe baada ya kumuacha pale home kapekua...
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.
Leo napenda unipe uzuri, ubaya, tahadhari au chochote katika hili. Mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae...
Habari za siku nyingi wananchi wenzangu?ebana,nina tatizo na my galfriend,ilitokea tukapishana kauli yapata sasa mwezi,lakini tangu hapo mambo yamebadilika,amekua anapokea calls zangu pale...
Salaam wakuu?
Mimi kijana wenu miaka 23 nimejileta hapa kutafuta a life partner. Nilikua na mahusiano 4 years back na toka yavunjike sijajihusisha na mahusiano mengine sababu kua bize na masomo...
kama wewe ni kijana ambaye una umri wa miaka 25 hii ni speacial kwa wasichana ukipata chance ya kuolewa aisee usiikatae cz i did my reserch about this marriage things nikagundua kuwa unamuhimu...
Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno.......
I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo...
Hata kama mtu kakosea, au umepata kifaa kizuri zaidi, ni vizuri kuwa na ustarabu.
Huwezi kujua ya kesho, na huonyesha ni kiasi gani unajua mapenzi.
Unajua aslimia zaidi ya 90 wanajuTa maamuzi...
Habari wana JF,
Natafuta mme kutoka JF.
Naamini mme anapatikana sehemu yeyote.
Mimi nina miaka 29.
Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea.
Awe mkristo.
Naomba alie serious...
Mimi naitwa Can, natafuta mke wa kuoa/kuoana naye awe na sura nzuri, tabia nzuri mcha Mungu(mkristo), Elimu yoyote, kabila lolote na Taifa sibagui.
Note that:~kua siriazi sifanyi mzaha...
Naomba kuuliza, kuna madhara gani ya kuitana majina ya kimahaba kama sweet,baby, mume/mke wangu, darlin, n.k, wakati ndo kwanza mmeanza mausiano. Jamani tupost tukiwa na taswira chanya katika...
Habari za usiku huu wana JF
Kuna binti ambae tumezoeana sana na tumekua marafiki wakubwa tu ila aijawai kutokea nikaenda alipopanga na yeye akuwai kuja ninapoishi ingawa anapafahamu na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.