lift gharama
Senior Member
- Apr 11, 2015
- 107
- 66
Habari wanajamvi,
Nikimchezesha straika wangu mechi za kirafiki hasa ugenini anafanya kweli. Yaan ndani ya kipindi cha kwanza anapiga hat trik. Nikija uwanja wa nyumbani hata hakimbilii mpira golini hata akibaki na kipa. Yaani hapigagi mashuti ktk uwanja wa nyumbani. Nisaidie ushauri atakuwa na tatizo gani???