Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mgema ni mvunaji wa pombe na tembo bila shaka ni aina ya pombe, sio tembo mnyama katika muktadha huu, sasa mi ni prefessional videographer. Huwa pia nafanya video za sherehe kama harusi mengi huwa...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Ni msichana niliyeishi nae miezi kama 7 tulikua tunaishi poa tu badae kulitokea kutoelewana tukaishi mbali na mbali lakini kwakua nilikua nampenda sana nilimsihi na kujishusha yaishe, lakini yeye...
1 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi, Kuna kitu kinanitatanisha kidogo. Najua mko kwenye tafakuri nzito kuhusu hawa watangaza nia naombeni niwapumzishe kidogo Ili (kufrash mind). Mimi ni mwanaume rijali niko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi, na poleni na majukumu ya kila siku. Katika maisha yangu niliyohishi hapa duniani nimekuja kugundua kitu ambacho kama mtu husipokuwa makini katika maisha haya unaweza kuja kuishi...
9 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari za majukumu wapendwa, mmejiandikisha kwenye BVR lakini? Anway, isssue iko hivi, Jana nilimtembelea ndugu yangu pale UDSM, sasa nilivyofika akawa amenikaribisha room kwao, pale room kwao...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Kama huna jicho la mbali huwezi elewa ninachozungumzia. Mifumo ya maisha ya sasa, ndio chanzo kikuu katika migogoro iliyopo ndani ya ndoa. Mifano michache: 1. Muda huharibu sana ndoa; zamani...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nitawasiliana na atakaye hitaji mawasiliano na mimi tuongee mengi tuwasiliane pm anitumie namba na mimi yangu 0683629183 napenda sana kupata rafiki serious wa umri huo nilioutaja,ili niweze kushea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi kama lauzi nimeshaoa ila kuna rafiki yangu yeye anahitaji mke vigezo vya mwanamke anayetakiwa umri 24 - 28 awe na kazi akiwa mwalimu itakuwa vizuri zaidi dini awe Muslim, mwanaume yeye ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Kusema ukweli nimejaribu kufanya uchunguzi mdogo ambao unahusu kijitabia fulani cha wanawake ambacho ni muhimu zaidi kukifikiria na kukifanyia kazi kabla hujaingia katika maamuzi...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Hi? Iam a man, hereby looking a wife material who will marry me.So If you are a woman (any religion,colour,tribe,bachelor degree,age23-32,) warmly welcome,except who have a children. Pm My age is...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mazee Asilimia >kubwa ya nyuzi za wa-mmyu ni kuchepuka & kuchepukIKa...hiili inaonyesha ni kwa namna na hali gani 'ma-super animals-watu' WANAVYOCHEPUANA kwa kasi na ari mpya kabisa kabisa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu Mdogo Wa mke wangu ameolewa arusha, anaishi huko na mumewe na familia yake Wiki iliyopita alimuomba ruhusa mumewe kuwa anakuja dar kwa Dada yake yaani kwangu, kwamba Dada...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari MMU, Nimekaa nikaziangalia baadhi ya ndoa na nikatafakari kwa muda sana swala la ndoa nikaona mwanaume aliyenyanyua mkuu wake na kwenda kwao mwanamke akamtolea mahari mwanamke akaoa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Mapenzi ni vituko kwa kweli.. Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa 4 nlikuwa na demu mzuri sana alafu mcha mungu sana, nadhani alikuwa na malezi mazuri sana uko kwao kwa tabia alizokuwa nazo nakumbka...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Ni hivi bila kupoteza muda, kuna demu mmoja tulikuwa tunakaa majirani sasa ikatokea tumezoeana kimtindo baada ya miezi miwili nikiwa nimerudi home Tz maana nilikuwa pande za kati, nikiwa nimekaa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, The heading above is selfu explanatoryi, Bwana arusi hana sababu za msingi zaidi ya kusema eti hana pesa ya maandalizi so wafunge tu ndoa basi warudi home bibie walishaanza vikao vya...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Siju nipo sahihi kiasi gani kujiita mgeni, ila nimekuwa nikiingia hapa kama guest kwa muda. Nimekuwa na hamu ya kutoa michango yangu zaidi ya kusoma tu michango ya wanajumuiya wengine hapa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mpenzi wangu alienda chuo Dar mwenzi wa pili mwaka huu na akanipa ahadi kwamba mwenzi wa sita atarudi mimi niko Mwanza huwa tunawasiliana vizuri. Lakini imefika hiyo tarehe nikamuuliza vipi...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wana MMU, Ni mda mrefu sijaja jamvini kuongea nanyi ila leo imenilazimu kwasababu nina tatizo linalonisumbua sana. Mwaka juzi nilianzisha mahusiano na dada mmoja hapa Dar na baada ya...
2 Reactions
91 Replies
10K Views
Back
Top Bottom