ELIFURAHA MAKOMBE
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 176
- 22
Mke mwema anaitajika, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo: Elimu shahada,umri 28 yrs,mkristo safi(lutherani),mrefu na mweusi wa maji ya kunde, nimejiajiri kwenye kilimo cha mpunga kwa sasa, ni Mchaga etc.
Mke nimtakaye: Awe na elimu ya form 4 nakuendelea,akubali dini yangu,mrefu kiasi na mweupe au mweusi wa maji ya kunde,umbile la wastani,kabila lolote,miaka 20-26,awe mpenda maendeleo zaidi,awe anapenda kilimo,biashara na kufuga,awe amejiajiri au ameajiriwa au mwenye mipango yakushirikiana na mim ili na yey ajiajiri.
Contact:0759 706090
Nipo serious wandugu