Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Salaam.
2011/12 nilikuwa skuli pande flani nafukuzia jiwe la kwanza. Niliamua kuchukua 'ghetto' uraiani badala ya hostel, sikuwa na sababu ya msingi. Hiyo sehemu nilikuwa mwanafunzi peke yangu, wapangaji wengine walikuwa na harakati zao tayari, walikuwa watu poa pia.
Kati ya wote nilikuwa karibu kiasi na mwanamama mmoja hivi, nothing more to it. Mara nyingi nilikuwa narudi mida flani ya jioni kidogo, na kama niliacha nguo kwenye kamba ya kuanikia, nazikuta ameshazitoa na kuzikunja fresh, again...nothing more to it.
Now, alikuwa na utaratibu akifua anafua mpaka nguo zake za ndani nyingi tu na kuzitandaza kwenye kamba pamoja na nguo nyingine. Noma iko hapa, kama mara 2/3 hii ilinikuta nikiwa ghetto sina plan ya kutoka na yeye anatoka, noma zaidi ni kipindi cha m'vua. Sasa siko comfortable kugusa nguo zake za ndani, siwezi kuziacha na kuanua nyingine, na kuziacha nje pia najistukia. Ilikuwa inabidi nijilazimishe tu safari nikishaona mawingu, na kurudi usiku ili kuepuka hilo zoezi. That was awkward.