Wanawake wanapenda kudanganywa sana

Wanawake wanapenda kudanganywa sana

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Mabinti mnapenda kudanganywa na hampendi kutumia hata logic,yaani kama huyu mda kama nusu saa nimechati naye namuomba mzigo kaniambia yupo bize hawezi mda kidogo nimemetxt kuhusu suprise angalia mwenywe
 

Attachments

  • 1434267316896.jpg
    1434267316896.jpg
    57.5 KB · Views: 628
  • 1434267350657.jpg
    1434267350657.jpg
    52 KB · Views: 565
  • 1434267373816.jpg
    1434267373816.jpg
    51.1 KB · Views: 574
Uuu tunaita utoto ndo maana nadatigi na wazee manake wanajitambua.
 
na hizi ni dalili za kike kabisaa
hayo mambo ya kusemana mlichoonhea na mpenzi wanafanyaga wanawake
sasa kama unapost hadi huku je ni kwa kiasi gani unawafoaia marafiki zako kila unachofanya na mpenzi wako
yaai utoto katika level ya juu kabisa
 
Mabinti mnapenda kudanganywa na hampendi kutumia hata logic,yaani kama huyu mda kama nusu saa nimechati naye namuomba mzigo kaniambia yupo bize hawezi mda kidogo nimemetxt kuhusu suprise angalia mwenywe

Nyinyi nyote mna umri gani??
 
Uuu tunaita utoto ndo maana nadatigi na wazee manake wanajitambua.

Ila wewe si ulishaolewa, bado unadetigi tu??ama unachepuka!!!!!!Back to the topic : Uyo muache akue ataacha
 
Ila wewe si ulishaolewa, bado unadetigi tu??ama unachepuka!!!!!!Back to the topic : Uyo muache akue ataacha

Si nilianza kudate ndo nikaolewa nae yaani mzee kanizidi miaka 20 na katika historia yangu nilikua nadeal na wazee tu.
 
mwenyewe akajua kuleta huku atasifiwa ye kidume.....uhahahaa!ha!haa!...sasa michambo inamuangukia
 
Back
Top Bottom