Huwezi kumiliki mtu. Unaweza kumiliki gari so ni sawa kusema gari langu au nyumba yangu. Si sawa kusema girl friend wangu au boyfriend wangu. Kumbuka mtu anapoingia kwenye uhusiano anaingia kwa mapenzi yake mwenyewe, na anaweza kukuacha kwa mapenzi yake mwenyewe.
Mtu anapokuwa na wewe anakupa privileges za kuwa naye na ku enjoy naye kwa wakati mkiwa pamoja. Na hizo privileges siyo exclusive kwa maana anaweza kutoa privileges kama hizo kwa mtu mwingine katika kipindi hicho hicho. Kupewa privileges hajakumililikisha. Mnapooana mnapata exclusive rights za hizo privileges na mnaandika mkataba mbele ya mashahidi.
Kwa hiyo vijana acheni kuja huku na kuanza kulalamika ohh! sijui girlfriand wangu nimemfumania, sijui ana cheat. Kama mnataka exclusive rights oaneni.