Kutembea na housegirl au kumtamani housegirl ni uchizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutembea na housegirl au kumtamani housegirl ni uchizi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Oct 20, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,409
  Trophy Points: 280
  Haiingii akilini mwanaume mzima mwenye mke kumtamani housegirl.

  Siku atatamani binti yake
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Housegal naye ni mwanamke/binti sioni ni kwa vipi unamtenganisha na binti wa muhusika!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hivi wewe ni jinsia gani kwani?????
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kuna housegirl na housegirl... usichanganye mambo. lol
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwanaume au Housegirl???
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hakuna uchizi hapo housegirl ni jina tu. Unaweza kukuta huyo housegirl mzuri kuliko mke..

  Sema sio tabia nzuri kufanya hicho kitendo wakati upo ndani ya ndoa
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hivi HG si mwanamke/binti?
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata nje ya ndoa huruhusiwi, ni sexual harassement sababu consent yake inatoka katika circumstances zisizo wazi: amekubali sababu anataka au sababu anakuogopa boss wake?
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hujambo wewe..
  kuna uzi nilikuwa nasubiri uchangie na ule mkwara wako wa
  'nikichangia nitaharibu hii thread 'lol
  umeiona???
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Labda kwa vile anaitwa Housegirl ndio maana wanaona sio mwanamke lol!!!
   
 11. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  RR.
  Ni kweli unachosema lakini kuna wengine uwa wanafanya hivyo vitendo kwa mapenzi ya kweli kabisa mpaka wanatangaza na ndoa.

  Kama anakuwa na mke uwezi kumuoa, housegirl atakuwa mtumwa wa mapenzi kama unavyosema
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Labda kwa umerudi nyumbani uko bwaksiiii ndo pepo la ngono likuanze hv unaanzaje kumtamani mtu full kunuka kikwapa,vitunguu,ana masizi ya mkaa,inataka moyo wa kibazazi kweli kumtamani duh haaingii akilini etiiii housegirl duh!!
   
 13. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa, kuna wengine wamenona.
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo house girl haolewi?

  Housegirl ni kazi kama wewe unavyoenda kazini kwako

  Sioni kwanini mtu aache kutembea naye kama anafanya kazi zake vizuri, na anafaa kufanya na mambo mengine pia
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  This makes sense
   
 16. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Cjaelewa maana yake.. Nahisi utakua umepigiwa housegirl wako na mdingi wa jirani, Hii mada sio bure unataka kutoa hasira zako tu.
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mimi nina waheshimu kwani ni wanawake kama sie tena sometimes wana tabia nzuri kuliko maza house wengi BUT si vizuri na wala si tabia nzuri kufanya nao hayo mambo.

  Wengine wameolewa kabisa baada ya maza house kuleta za kuleta! Mie nina ndugu yangu ameoa msichana wake wa kazi baada ya mkewe kugeuza chumba chao dangulo! na sasa wana miaka lukuki ndoani na watoto walioko sekondari!
   
 18. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hujui wewe housegirl ni jina tu hata demu wako anaweza kuwa housegirl mm nawapenda sana hasa wakishaanza kupendeza sitoki ndani tena ukitaka kufaidi unagonga bila kondom kumuenzi mwalimu!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,330
  Likes Received: 19,497
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo ujue huyu jamaa na bahati ya kuwa na ma house girl wabaya
   
 20. h

  hayaka JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwani house g hatamanishi? Au hawezi mapnz kama wanawake wengine. Wanawake wengine wana nini ambacho cha hg hana?
   
Loading...