Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

swtybby

Senior Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
105
Reaction score
39
Ninamahusiano ya kimapenzi na mwanaume yupo busy balaa, mwanaume ni muajiriwa na mimi pia ni muajiriwa ingawa tunaishi mikoa tofauti. Kiukweli kutoka ndani ya moyo wangu nampenda sana huyu mwanaume, tatizo mwanaume yupoj busy unaweza ukatuma text asikujibu sometime simu unapiga haipokelewi.

Ukimpa hewani anasema alikuwa umetingwa,huwa sipendi kumuhisi vibaya.Hivi wanaume wote wapo hivi au ni huyu wangu? Wakati naomba nipate moyo wa uvumilivu ila kuna time nakosa uvumilivu.

Naomba mnishauri jamani
 
Ukituma text haijibiwi siku nzima au unataka dakika hiyo hiyo akujibu?
unapiga simu saa ngapi?
why usiwe unapiga simu time ambazo unajua yupo nyumbani na anajiandaa kulala?
kama unapiga simu office hours na yeye ni very busy person ni halki yake kutokupokea
 
Kaa nae chini muelekeze nini unataka!? But utambue kua sio kila muda ni wamapenzi japo kujuliana hali ni muhimu. Sio kila wanaume tupo hivyo, hivyo Nakushauri kaa nae chini muyajenge.
Tchao!!!?

Najua sio muda wote wa mapenz ila kuna tme huwa namtxt kumuulza ktu hajibu nkiona kmya sana huwa napga hapokei,najua yupo busy na kazi ila mtu c anakuta mcd call anatakiwa anitafute ila y anakaa kimya.Ila nachompendea ni mwepesi kujua kuwa amekosea,thankx kwa ushauri wako mpendwa
 
Kaa nae chini muelekeze nini unataka!? But utambue kua sio kila muda ni wamapenzi japo kujuliana hali ni muhimu. Sio kila wanaume tupo hivyo, hivyo Nakushauri kaa nae chini muyajenge.
Tchao!!!?
Well said !! swtybby umesoma hapo na kujiamini.... jiweke nafsi ya mwenzio utaelewa la kufanya!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo unamuonesha unampenda sana
HIVI WANAUME HUWAJUI

just fata ratiba yake
atakopopiga pokea
akituma msg jibu
akikaa kimya NA WEWE KAA mmekutana ukubwani kila mtu kalelewa kwao huko na tabia ni tofauti
so kama unampenda fata ratiba yake yeye
CHUKUA HILI WAZO LITAKUSAIDIA
 
Ukituma text haijibiwi siku nzima au unataka dakika hiyo hiyo akujibu?
unapiga simu saa ngapi?
why usiwe unapiga simu time ambazo unajua yupo nyumbani na anajiandaa kulala?
kama unapiga simu office hours na yeye ni very busy person ni halki yake kutokupokea

Sasa usiku ndio anawahi kulala kwasababu ya uchovu unaweza kupiga simu saa tatu isipokelewe
 
Wrong
kuna watu hawapendi tu kupiga simu
wako hivyo....mimi mmojawapo...
i hardly call anyone.....sms zaidi....nikipiga simu ujue ni 'work related'
Jamaa hajibu sms wala calls bana...basi hata kurudisha kupiga teh au ajibu aseme nipo busy ntakutafuta baadae!Thats lack of manners na he doesnt care kivile coz the woman is'nt his priority!
 
Hata awe busy kiasi gani kama anakupenda atatengeneza muda kwaajili yako.Hakuna ubize unaouongelea kwenye mapenzi!

Umeona eh,alafu ameshajua yupo busy atlst anicheck kabla hajaanza kazi zake
 
Wrong
kuna watu hawapendi tu kupiga simu
wako hivyo....mimi mmojawapo...
i hardly call anyone.....sms zaidi....nikipiga simu ujue ni 'work related'

Me hata ukinipgia mara moja sina tatizo ila huwa naumia pale me nkipia hupokei simu na hata msg hujibu yani siku inapita utafikiri sio wapenzi
 
Jamaa hajibu sms wala calls bana...basi hata kurudisha kupiga teh au ajibu aseme nipo busy ntakutafuta baadae!Thats lack of manners na he doesnt care kivile coz the woman is'nt his priority!

Wrong usiwe quick to judge
zipo kazi ni so stressful na usikute mtu anaingia alfajiri na kutoka usiku
na mda mwingi ana weka simu mbali...
na akishika simu kuna meengi tu ya kumsahaulisha...
 
tatizo unamuonesha unampenda sana
HIVI WANAUME HUWAJUI

just fata ratiba yake
atakopopiga pokea
akituma msg jibu
akikaa kimya NA WEWE KAA mmekutana ukubwani kila mtu kalelewa kwao huko na tabia ni tofauti
so kama unampenda fata ratiba yake yeye
CHUKUA HILI WAZO LITAKUSAIDIA

Leo na me nimeamua kuuchuna akipata muda atanitafuta
 
Hapo ipo kazzzzi !! ima MAPENZI wa ima MSILAHI (bizee job)
Hata kama watu wako busy bana mtatafuta njia za kuwasiliana coz sio kitu kisichowezekana,suluhu ipo na jamaa lazima amjali mwanamke wake,kazi ipo tu na itakuwepo always,haimaanishi u should'nt take care of other responsibilities if your working.
 
Wrong usiwe quick to judge
zipo kazi ni so stressful na usikute mtu anaingia alfajiri na kutoka usiku
na mda mwingi ana weka simu mbali...
na akishika simu kuna meengi tu ya kumsahaulisha...

I'm not convinced yet kabisa.
 
Jamaa hajibu sms wala calls bana...basi hata kurudisha kupiga teh au ajibu aseme nipo busy ntakutafuta baadae!Thats lack of manners na he doesnt care kivile coz the woman is'nt his priority!

Anaweza akanitxt kuwa atancheck badae hyo badae n hadi siku inapita
 
Back
Top Bottom