Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni! Mkuu wa Shule moja hapa Bukoba amelizwa, alikuwa na mchumba wake ambae ni yatima akamsomesha kuanzia form 1-4 akabahatika kupata Division 3-ya 25...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wengi wa JF ni waathirika pia na ndio maana linapokuja suala hilo wengi wanakuwa wakali. Kuolewa/kuoa ukiwa na Bikira ndiyo mpango wa Mungu bali kuoa/kuolewa bila kuwa nayo ni mpango wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu,leo ni siku yangu ya kuzaliwa niatimiza miaka 29 leo hii.
2 Reactions
17 Replies
966 Views
Leo katika pita pita zangu nikakutana na mdada mmoja mtaani. Huyu dada tumeshawahi kutana mara nyingi, mi najua anafanya kazi gani ila ya alikuwa hajui kazi yangu. Nikamweleza kuwa nina maongezi...
12 Reactions
152 Replies
11K Views
Poleni na majukumu wana wa jf. Kitu kikubwa ni kwamba nina mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano ni mwaka sasa alikuwa bado anasoma na sasa kamaliza chuo, chakushangaza hataki kazi nimemtafutia...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nampenda na tunaishi tofauti, yeye Tz na mimi nje ya Tz. Siku mbili zilizopita alinipigia sm skupokea, katuma msg kwenye whatsap sikujibu. baada ya dakika kama 30 nikampigia na kuanza kujitete...
2 Reactions
93 Replies
8K Views
habari zenu wanajamvi, kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
:: Never say I love you If you really dont mean it :: Never talk about feelings If they aren't there :: Never hold my hand If you plan to break my heart :: Never look into my eyes If...
9 Reactions
69 Replies
5K Views
Leo mie Karucee nimekaa weeeee. Nipo idle kishenzi. Sina mood wa kazi so nikajikuta nawafikiria hawa wenzetu ambao we cant kill them nor live without them. It must be really difficult being them...
16 Reactions
72 Replies
4K Views
Nyani Ngabu+ The Boss + SHERRIF ARPAIO+ BAK= mmmmmhhh?!! Haya!!! I know they have something in common, but I cannot just lay my finger to it. The first two are very bad..... the last two are...
6 Reactions
177 Replies
8K Views
Habarini za kazi ndugu zangu,,naombeni kujua wapi ambapo nitapata huduma ya counselling,maana nina msongo wa mawazo sana baada ya kuachwa na mpenzi wangu ambaye tumetoka mbali sana,,imefika muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bad Boys. Love them or hate them, the fact remains that women just can’t get enough of them. I’ve had friends who were clearly dating guys that were so poisonous to their lives. Trying to get...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwatafakari kaka zangu wakisukuma, haswa walio kulia vijijini na sasa wapo mjini na pia mambo yao ni mazuri kwa kulingana na backgroung zao, kitu kimojaninachongundua...
1 Reactions
150 Replies
38K Views
wapenzi wana jukwaa la mmu, habari zenu! mwenzenu nasumbuliwa na ndoto kila leo naota ndoto mpya, kila moja na kisanga chake, halafu cha ajabu huwa haziishi, yaani scene hazimaliziki, zinaishia...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi n mwanaume wa miaka 21 sijawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?
0 Reactions
113 Replies
15K Views
Assume kwamba wewe umemkosea mpenzi wako, as we say umecheat somewhere na amekugundua kabisa kwamba umtenda kosa!!! sasa pointi inakuja hapa, je utafanya vitu gani mpaka umfanye mwenzi wako...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Usagaji ni hali hali ya mwanamke kumfanyia mwanamke mwenzake vitendo vya mapenzi na ngono Ni sawa na kusema usenge au kwa wanaume, na kama ilivyo kwa wanaume kuwa kuna ------, basha na...
0 Reactions
74 Replies
12K Views
Habari za weekend wadau wa MMU??? Tangu nimejitambua sikuwahi kusikia kuhusu mila na desturi hizi, juzi kati ndo nilianza kusikia. Sijui kama zina ukweli wowote??? 1. Iwapo mtoto akizaliwa...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Naandika kwa nia nzuri ,wala si kuwahukumu watu ila najua iatwafumbua macho wengi! Aidha nimeleta kwenye jukwaa hili makusudi kwa itagusa sana mahusiano ! Hivi karibuni nilipokea wageni toka...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! Kichuna wa kizaramoNIsieisha utamu! Bazazi wa JF Headquater ya mikwara! The Boss wa JF wewe unasema nini? Mtasema...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…