Kuolewa/ kuoa bila bikira ni mpango wa shetani?

Kuolewa/ kuoa bila bikira ni mpango wa shetani?

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
561
Reaction score
446
Wadau wengi wa JF ni waathirika pia na ndio maana linapokuja suala hilo wengi wanakuwa wakali.

Kuolewa/kuoa ukiwa na Bikira ndiyo mpango wa Mungu bali kuoa/kuolewa bila kuwa nayo ni mpango wa shetani.

Kama ni suala la kufundishwa hilo ni jukumu la viongozi wa dini na wazazi.Mimi nitamfundisha mwanangu wa kiume jinsi ya kumfikisha mkewe barabara kabisa.

Faida ya wanandoa kuoana wakiwa mabikira ni nyingi sana kama zifuatazo:

1. Hakuna kusalitiana ktk ndoa maana kila mtu anaridhika na mwenzake.
2. Hakuna maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
3. inapunguza watoto wa mitaani.
4. Hakuna nyumba ndogo.
5. Inaleta heshima Katika jamii na familia.

Kama mwanandoa ataoa/kuolewa kwa mpango wa shetani yaani amekuwa na mahusiano mengi yaani ameishaona nene, fupi, ndefu,pana, etc kamwe hawezi kulidhishwa na mwenzi wake.

NB: Waleeni watoto wenu na wadogo zenu ktk maisha yanayompendeza BWANA Mungu.
 
ni kweli MUYOOL na the best thing of it ni kwamba hakuna zawadi kubwa uwezayo kumpa umpendaye kama kujitunza kwako,ila ndo hivyo shetani kauharibu ulimwengu so saaaaad aiseeee.
 
Last edited by a moderator:
...Mimi nitamfundisha mwanangu wa kiume jinsi ya kumfikisha mkewe barabara kabisa...
wazazi na mtazamo wa digitali. Antenna yangu ya mwiba wa samaki imeshindwa kukamata mawimbi.
Kizazi kijacho kinaharibiwa na kilichopo kama matokeo ya kilichopita.
 
Mwisho wa YOTE hakuna LAANA yeyote itakayo kuwa katika familia hiyo na kizazi chao. Wataishi kwa amani na upendo mkubwa sana.
 
Mwisho wa YOTE hakuna LAANA yeyote itakayo kuwa katika familia hiyo na kizazi chao. Wataishi kwa amani na upendo mkubwa sana.

yeah hakuna laana ila ukae ukijua mtoto wa kiume kama baba na mtoto wa kike kama mama,chunguza malaya,walevi ,wezi ,mafisadi nk wate ukitafuta historia ya jamaa zao utakuta kuna waliokuwa na tabia hizo......na ndio maana watu wanasema mwanamke awezi msahau aliye mbikiri atakama atakuja kutana na huyo mwanaume miaka 10 baadae uwezekano wa kumvulia ni mkubwa sana...labda mwanamke awe amejaa hofu ya Mungu
 
Back
Top Bottom