B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni!
Mkuu wa Shule moja hapa Bukoba amelizwa, alikuwa na mchumba wake ambae ni yatima akamsomesha kuanzia form 1-4 akabahatika kupata Division 3-ya 25, akapelekwa chuo cha Ualimu Tarime, wakati anapelekwa mwalimu akapata barua ya kwenda kuwa Head master shule moja iliyopo BUKOBA VIJIJINI, binti kamaliza miaka 2 akapata mkufunzi wa chuo hapo hapo TRM, ndo amemuoa.
Mkuu wa shule anapiga simu simu haipatikani, ikabidi aje kumuulizia akaambiwa " huyo binti amishaolewa na mwalimu mmoja hapa" mkuu hakuamini ila ni jasiri yeye akasema huyo ni mtoto wa dada yake so kama kapata mchumba si mbaya.
Mkuu amerudi BK. nadhani ana mawazo sana!
Mabinti acheni tamaa, Promise must be kept!!!