Ushauri: Amenuna, kisa nimenyoa huku

Ushauri: Amenuna, kisa nimenyoa huku

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,852
Reaction score
113,303
Nampenda na tunaishi tofauti, yeye Tz na mimi nje ya Tz.
Siku mbili zilizopita alinipigia sm skupokea, katuma msg kwenye whatsap sikujibu. baada ya dakika kama 30 nikampigia na kuanza kujitete kwa mba nilikua bafuni nafanya usafi. He...!! hapo ndipo ugomvi ulipoanzia na madaiyake haswa ni:-
Kwanini nanyoa eneo hilo la kifanyio?
Namyolea nani (anione)?
Kwanini nisisubiri hadi nirudi likizo aninyoe yeye?
Au nimepata msaidizi wa fundi ndiomana napalilia kichaka?
Mimi nilikua kimyaaa wakati akinitolea tuhuma hizo hadi akakata sim yeye.
Niliamua kukaa kimya hadi siku iliyo fuata maana nilijikuta nimepata jazba kuliko kawaida. lakini chakushangaza hapokei sm, hajibu msg, whatsap, fb na airg namuona, lakini nikitima ujumbe hajibu.
Sasa najaribu kujiuliza nimekosea wapi?
Na nyie wakaka wenzangu huwa mnafanyiwa hivyo?

Ushauri tafadhali maana hata hata utendaji wangu wa kazi umeshuka na nimedhoofu kwa mawazo.
 
Heee kwa hiyo alitaka ubaki na kickaka basi makubwa sijui niseme wivu umezid au anaumwa.................... maana atakuwa si mzima kwakweli!
 
stori yako feki :A S-confused1: amejuaje !!!!!!
 
Ivi ulishaona mtu anavyofurahia sms au call ya mpenziwe? au wakati wa enzi zile tunatumiana barua zenye moyo na mkuki umepita katikati (japo sielewi lengo la ule mkuki hadi sasa). therefore ujumbe huo huwa wa maana tu kwa mlengwa lakini mtu mwingine ukiokota barua kama hiyo walioandikiana wapenzi, nadhani wewe utaona kama hawana akili timamu au pengine ni watoto wadogo, lakini pengine ni maprofesa hao.

Point yangu ni kuwa, hayo maneno yana- make sense only kwenu nyie wawili tu, by no means utegemee sisi tuelewe kama mlengwa hukuelewa....... ila pole Mkuu, Mapenzi bila reasoning ya maana yanakosa kitu cha muhimu sana.
 
Mh huwezi baki na kichaka kisa kusubiri likizo ya mtu , hajui kama chaka husababisha kujikuna ovyo? Anyway huyo mtu wako alikuwa anatafuta sababu au pakuanzia magomvi. Kaa kimya usimwandikie msg wala simu yoyote kumpigia.
 
Mi mwenyewe nakushangaa. Kama mwenye shamba yuko tz na ww abroad, unapalilia shamba ili iweje? Rudisha shamba home afyeke michongoma mwenyewe.
Pole kwa kununiwa. Bembeleza bwana!
 
Me nadhani huyo alikuwa anakutafutia sababu ya kugombana.

Na kwann akufikiria vibaya? Je na yeye huwa hapalilii shamba lake hadi siku mtakapokuwa pamoja?

Jamani hata kama kupendana ila kuna vitu kama hivi inatubidi kufanya, kupalilia shamba ni mojawapo ya unadhifu, me kwa upande wangu sidhani kama ulichofanya ulikosea.

ILA TU utakuwa umekosea kama mlishajiwekea utaratibu wa wewe kutopalilia shamba lako hadi hapo mtakapokutana tena.
 
Chunguza, zingine huwa NI eruption point, who knows Labda alkuwa anaitafuta
 
Sasa wewe kwa nini haukupokea simu hizo siku mbili za nyuma?
Hauoni kama mazingira mabaya uliyatengeneza mwenyewe?
 
amekumiss huyo
na anataka attention yako tu
mtafte tafte hasira zikipoa atajibu
 
Heee kwa hiyo alitaka ubaki na kickaka basi makubwa sijui niseme wivu umezid au anaumwa.................... maana atakuwa si mzima kwakweli!

Hata mm sijui mkuu
Ndiomaana nimekimbilia huku mmu
 
Mhhhhhhhhhhh! HUYO MPENZI WAKO HANA ITIKADI ZA KIRASTAFARAI KWELI??????????
 
Ivi ulishaona mtu anavyofurahia sms au call ya mpenziwe? au wakati wa enzi zile tunatumiana barua zenye moyo na mkuki umepita katikati (japo sielewi lengo la ule mkuki hadi sasa). therefore ujumbe huo huwa wa maana tu kwa mlengwa lakini mtu mwingine ukiokota barua kama hiyo walioandikiana wapenzi, nadhani wewe utaona kama hawana akili timamu au pengine ni watoto wadogo, lakini pengine ni maprofesa hao.

Point yangu ni kuwa, hayo maneno yana- make sense only kwenu nyie wawili tu, by no means utegemee sisi tuelewe kama mlengwa hukuelewa....... ila pole Mkuu, Mapenzi bila reasoning ya maana yanakosa kitu cha muhimu sana.

Asante kwa kunipa pole mkuu
 
Mh huwezi baki na kichaka kisa kusubiri likizo ya mtu , hajui kama chaka husababisha kujikuna ovyo? Anyway huyo mtu wako alikuwa anatafuta sababu au pakuanzia magomvi. Kaa kimya usimwandikie msg wala simu yoyote kumpigia.

Asante kwa ushauriwako mkuu
 
Mmmh kazi ipo hataki ujiweke katika hali ya usafi?Huyo analake jambo alikua anatafuta tu ugomvi kaa kimya atajua amefanya kosa atakuomba msamaha
 
Back
Top Bottom