natamani kumpata mwanaume mkweli....!

natamani kumpata mwanaume mkweli....!

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
265
Reaction score
78
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.
 
tafadhali wasiliana na mimi nimekidhi viwango vyako kwa zaidi ya 50%
 
Kwa ujumla hakuna mwanadamu mtimilifu,kila mmoja wetu ana mapungufu yake kwa hali hiyo ujikane na ujitwishe mzigo wako. Kumbuka mchagua nazi mwishwe huchagua koloma

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
wakweli siku hizi bidhaa adimu mamii
utakaribisha maumivu ya kichwa na moyo tu
#pray
 
We onja onja wanaume kibaoo..suitors. ..kati ya hao utampata your husband material
 
Matamanio,mawazo na hisia zako tumezipokea kwenye uwanja wetu wa waongo.

Utatamani mpaka mwisho wa dunia huku sisi waongo tukikuonja-onja wewe mkweli!!
 
Back
Top Bottom