bwana mmoja nchini nepal aliyejulikana kwa jina la chowdhry katika jiji la kathmandu kabla ya umauti kumkuta alimwambia mkewe kuwa atakapokufa azikwe na pesa zake zote kwani alikuwa tajiri wa...
Habari zenu,
Poleni na majukumu ya kitaifa, hapana shaka weakend yenu inaendelea vizuri.
Nina mahusiano na binti mmoja yapata mwaka na nusu sasa nikawa nimejiridhisha kuwa anafaa kuwa mke wangu...
Wakuu habari zenu,
Kuna rafiki yangu wa karibu ambae waliachana na mumewe rasmi kwa talaka mahakamani miaka kadhaa iliyopita na sasa nataka nimuoe mimi je, kimaadili inawezekana?
Ipo hivi-...
Habarini wakuu,
Nimekaa nikajiuliza kwanini pindi watu wanapoanza mahusiano mapenzi yanakuwa motomoto ila inapofika muda fulani mapenzi yao ufifia na mtu anafikiria kuwa na mchepuko.
Nini...
Wanajamvi naja tena,
Hii ndo imekua fasheni ya mapenzi ya Mjini kwa wale wanao jua wata ungana na mimi, ipo ivi" kama huna hela wadada wazuri utaishia kuwaita shemeji " upo apoo?
Asalam wadau,
Mimi n mgeni katika jamvi naomba kukaribishwa,
Nakuja moja kwa moja na mada husika kuna jamaa mmoja mtaani ana msichana wake anataka kufunga nae pingu za maisha lakini...
Habari za usiku huu ndugu zangu,
Bwana Yesu asifiwe kwa wale wa mlengo wangu.
Dada zangu mimi nimeokoka(born again) kwa sasa nina kama 7 month since nimeokoka, nipo katika mahusiano for 8 yrs...
Nina miaka 26 ,elimu yangu degree,nimeajiliwa selikalini,naishi mbeya.
Natafuta mchumba au mke wa kuoa .
Vigezo awe na elimu kidato cha nne na kuendelea,mweupe,sura nzuri,asiwe mnene pia awe na...
Mimi ni binti wa miaka 22 natamani niwe na mchumba kutoka humu.Mie bado mwanafunzi ila wachuo Sifa zangu: Rangi yangu maji ya kunde nina macho ya kusinzia, nina lips nzuri, ninamguu mzuri, chuchu...
Mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rafiki wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia Diploma hadi PHD, mwenye nia...
Habari zenu wana JF,
Naombani ushauri wenu,
Nina rafiki yangu wa kiume nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa, tunaendelea vizuri kwenye mahusino tatio linakuja kwenye sex life yetu, sijui ni...
Nimeshakuwa katika mausiano na wasichana tofauti, mara ya mwisho nilikuwa na mahusiano na dada wa kijerumani,huyu kwa mara ya kwanza tulifikia mpka kutambulisha kwa wazazi.Siku kadhaa zilizopita...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeshawishika kuajiri kwa sababu mimi ni mvivu wa kufanya usafi wa ndani. Kitanda natandika mara mbili kwa wiki siku za weekends.
Napata hasara ya kununua...
Ilikuwa miaka ya 90 mwanzoni nikiwa std 7, nilikuwa na girlfriend ambaye tulikuwa tukisoma darasa moja. (tulikuwa kwa wakati huo hatujawahi kusex japokuwa tulikuwa tukiandikiana barua na mapenzi...
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji...
Mimi ni mwanamke umri miaka32 Nina mtoto 1 wa miaka 5 nimeokoka nampenda yesu ila umefika wakati nahitaji mwenzi mwenye mapenzi ya kweli nitakaefunga nae ndoa na awe ni mtafutaji kama mimi...
Habari wana Jamii forums.
Kama kawaida yangu leo nipo tena kujadili mada hii,je wajua kitu kinachovutia zaidi kwa mwanamke, watu wengi nimeshawahi kuwauliza swali hili lakini kila mtu alinipa...
Habari wana jukwaa,
Ni mda sasa tokea nimekuwa nikiskia habari za kwamba mtu flani katendwa na mpenzi wake, mara kasalitiwa, mara kaliwa hela na kutoka mswaki katika mission hasa wakiumeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.