Partners in Crime

Partners in Crime

heheheh sherif umemkosea bana ..lol
 
huyo wa pili ni balaa...honestly namuogopaje! jana alidai eti kuna mdada alikaa nae pm toka saa saba hadi saa tatu..nimeshangaa huyo mdada ana ubavu gani maana mimi i cant stand him hata dkk tano maana naweza kujisahau loh!
 
Nahisi kabisa @SHERRIF ARPAIO nimemuonea.... but onus is on him to prove he is innocent until proved guilty. But Why is he associating with bad boys?? Hao wengine bwana hawana say!!
 
ha haaaa.Kashfa hizo.
hivi ulikuwa unamwambia nini? maana mimi hao jamaa pm??????? siwezi kukaa nao hata dkk tano! labda niwe na bullet proof! au ulikuwa na bange kichwani!
 
huyo wa pili ni balaa...honestly namuogopaje! jana alidai eti kuna mdada alikaa nae pm toka saa saba hadi saa tatu..nimeshangaa huyo mdada ana ubavu gani maana mimi i cant stand him hata dkk tano maana naweza kujisahau loh!

face your fears lol
 
Back
Top Bottom