Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
208.9K
Threads
7.5K
Posts
208.9K

JF Prefixes:

Nina shaka wanajf hamjambo!nina mashaka na hizi muvi zetu zenye muelekeo wa imapenzi.eti mbongo akiigiza kalala na mwenzie hawachakahuani tunda la katikati?maana nahisi filamu zetu kwajinsi...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Mapenzi ni kitu ambacho huleta furaha kubwa isiyo na kifanikati ya wawili wapendanao kwa dhati,kwani huleta hisia za kujaliwa,hisia zakujihisi unamilikiwa na mtu umpendaye,hisia za usalama,hisia...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Ushauri wenu wazeeplease na vijana kwa ujumla Eti kwa nini wazee wengi wa miaka ya sasa inapotokea rizki kwa binti yaokuposwa wanakataa. Ukitizama binti ashafikia age ya kuolewa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
She is pretty girl, cute, good looking, portable but talkative!!!!! Alinitembelea leo mtaani kwangu baada ya mawasiliano ya hapa na pale! nimempokea saa 6:30 mchana akitokea posta nimemuaga saa...
5 Reactions
98 Replies
5K Views
Kuna msichana imetokea kanifia, anaonesha kabisa kwamba anataka tufanye mapenzi. Huyu msichana nafahamu historia yake kwamba ana tabia nzuri na si mtu wa kujirusha. Nahisi ana ubikra na...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Sio mimi, ni Professor Konstantinos Manolopoulos - University of Oxford Scientists from the University of Oxford have discovered that women with larger than average butts are not only...
13 Reactions
133 Replies
11K Views
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena...sasa wewe kaka yangu kujali unadhani ni...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Naweza kusema ni mpenzi wangu ambaye niliishi naye zaidi ya mwaka mmoja nyumbani kwangu kwa lugha nyingine alikua kama mke ila nilikua sijaenda kujitambulisha kwao. Mkasa ulikua hv Nilikutana...
0 Reactions
98 Replies
8K Views
habari wana mmu!!? binafsi, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana juu ya kabila hili la kikurya katika suala zima la mapenzi! kwa jinsia ya kike, wanawake wamekuwa ni watu wasiri sana katika...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
heshima na salamu kwenu wote MMU kwa takribani wiki sasa tumekuwa tukiletewa mkasa mzuri na ndugu yetu MZIZIMKAVU hapa jamvini lakini nashangaa kimya mpaka sasa au ndo imeisha nisaidieni wasomaji...
2 Reactions
4 Replies
929 Views
wanajf hamjambo???? kama wiki 2 zilizopita hapa jf kulikuwa na topiki ya mwanamke kukatwa na mumewe hapa tarime!!!,mimi kama mwanajf sikuchangia chochote ktk mada ile' jana mchana nilifika...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
^^ Kila mmoja analo hitaji la kupendwa.Kuna wanaotumia nguvu nyingi ikiwemo rasilimali ili wapendwe.Na wengine hawatumii nguvu yoyote ili wapendwe.Na wapo ambao hawajui wako wapi. .... Lakini...
11 Reactions
69 Replies
5K Views
Habari zenu wapendwa, Hope mko salama na mnaendelea na shuhuli zenu. Mie bana mwezi wa saba mwaka huu ni nilifanya interview kampuni flani hivi na mwezi wa tisa nilipigiwa simu kuwa nimepata kazi...
2 Reactions
157 Replies
11K Views
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu na bado sijapata jibu. Mwanamke humtamani mwanaume. Hisia zao zipo wapi? Kwa nini mwanamke haezi kumtamkia mwanaume kuwa anamtaka?
0 Reactions
38 Replies
41K Views
hv uliwezaje kumfanya mpenzio kuwa rafiki yako wa karibu sn????nataman na wangu awe hivyo.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wana janvi? Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mitaa...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
aisee jamaa kamkomalia mrembo wake aisee!! dada nae anaonekana kuwa na mapozi meeeengi kweli kweli!! hizi swaga naona siku hizi hazipo! atm yako tu ndio inavuta!
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Nimesikitishwa sana hadi nimetoa machozi kwa hiki kilichokuwa kinaendelea kwenye uzi wa Wanawake wanajiuza. Wanaume mnataka nini? Mmekosa hata staha kwa hao wachache mnaowajali mkabaki...
18 Reactions
117 Replies
9K Views
Kufanya kazi sehemu moja au kuzungumza na mwanamke mwenye mvuto kunaweza kumfanya mwanaume apoteze umakini wake, hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Jarida la New Study. Wanaume...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF, kwa utafiti kidogo niliofanya, nimegundua kwamba asilimia kubwa ya wanaume hawawaridhishi mademu wao. Mwanaume akishaingia uwanjani lile jote humfanya akapiga bao mapema. Mwanamke...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom