Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

instagram-@ kifesi WCB FOR LIFE
0 Reactions
91 Replies
5K Views
Habari za leo wana jamvi? Hivi wanawake wenye misimamo kwenye sex hawasumbui wanaume kweli ,maana mi ninae wa hivi sasa nahofia nisije nikawa naambiwa sijisikii na mtu kasimamia kucha kweli.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28,mkristo nasali romani catholic na nimeokoka,elimu yangu ni shahada ya uzamili yaani masters,nina kazi nzuri tu na ni mwajiliwa wa selikali, rangi ni maji...
0 Reactions
37 Replies
14K Views
Tulikutana mwaka 1986 nilipo pelekwa Mihayo Primary (kabla haijabadilishwa kuwa secondary) kuanza std 1, sikuhiyo tulipokewa na mwl Neema. baada ya kubadilishwa kuwa secondary tukahamishiwa...
2 Reactions
116 Replies
7K Views
mawasiliano yamerahisishwa sana siku hizi na kuna namna tofauti tofauti za kuwasiliana ingawa ni ukweli kuwa kuna watu unaweza maliza hata mwaka hujawasiliana nao hali ya kuwa una namba zao za...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
kuna rafiki yangu alishapelekwa kijijini na dada moja kwenda kutambulishwa kuwa ndo baba watoto mtarajiwa lakini haikuchukua miezi miwili jamaa kapata taarifa kua yule binti kafunga ndoa jana...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Naamini gesti nyingi zitajaa wateja...yetu macho
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Nijuvye mpenzi wangu, hali yako ulonayo Zimepita siku chungu, sijasikiya haliyo Hukaribu chini yangu, nikapoza huu moyo Naungulika kwa hayo 2. Waniruka usingizi, kucha nikikufikiri Hebu itika...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
habari wanajamii forum wenzangu natafuta marafiki wakike wa kuchat nao sijali umri wala nn ili tuwe tunachat na kubadilishana mawazo na kupiga mastory so kama upo tayari tucheckiane kupitia namba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Ninasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Smile, amefiwa na mama yake siku ya alhamisi huko Moshi na mazishi yanatarajiwa kufanyika huko huko Moshi. Kama tujuavyo wengi wetu humu ndani tunaishi kama...
23 Reactions
289 Replies
13K Views
Wapenda habari za weekend Natafuta shule kwa ajiri ya mtoto ambae uwezo wake wa kusoma ni mdogo, hana utindio wa ubongo Naombeni msaada wenu shule kwa ajiri ya primary school mahali popote Tanzania
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mapema asubuhi wanaume wengi wanakuwa wamesimamisha!!Je kuna uhusiano gani kati ya muda huu na kinachotokea?Elimu haina mwisho. XXXXXXXXXXXXXXXXXX pamoja na maelezo ya kina yaliyowekwa hapo...
0 Reactions
102 Replies
12K Views
Uswahili nao matatizo sasa.. kuna ulazima wa kutangaza kua umefika kule unakokwenda kwa ulio waacha sidhani sijui nyie wadau mnamtazamo gani
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi Ijumaa Kareem Natumaini sote tuko poa. Kuna jambo nimekuwa nikiliona kwenye maofisi mengi ambamo nimepitia na nilipojaribu kuwauliza baadhi ya marafiki zangu wafanyao kwenye ofisi...
7 Reactions
106 Replies
7K Views
Wandugu nimejikuta katika wakati mgumu kufanya tafakuri baada ya kuulizwa swali hili na jamaa yangu wa karibu, ndugu huyu alikuwa na mpenzi wake na wakazaa nae wakati mtoto akiwa kachanga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!! Majuzi tulikuwa out Dadaz tunapunguza stress za kuacha kazi, kunyanyaswa na bosi, kuwaunder employed, kukosa waume, kushindwa kuipata American...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Sipati picha hii wikiendi, ndani ya 6 kwa 6, na mdoli alojaziajazia na kimvua hiki halafu huna stress...! Lazima utajihisi uko peponi
1 Reactions
28 Replies
2K Views
hakika nakuambieni wana MMU..kuwa na mpenzi mmoja ni kama kujitwisha zigo la mateso ,,yani wajifunga mwenyewe bila kujielewa. Kwanini? B coz,, 1.huyo mpenzi akikuchoka tu anaanza vimbwanga...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Watu wasichanganye pepo la ngono na jini mahaba Jini mahaba ni pendapenda japo hupenda mmoja kwa Wakati mmoja, ukiona mtu anakupenda bila sababu na anakuwa tayari kufanya chochote, namaanisha...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
habari zenu wana mmu!!? mwenzenu nimeamka na hili kichwani mwangu.. nimeona nije mbele za great thinkers tupeane ushauri! jana katika pita pita zangu mitandaoni, nilikutana na ishu moja ambayo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom