Ushawahi kusikia mila na desturi hizi????

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari za weekend wadau wa MMU???

Tangu nimejitambua sikuwahi kusikia kuhusu mila na desturi hizi, juzi kati ndo nilianza kusikia. Sijui kama zina ukweli wowote???

1. Iwapo mtoto akizaliwa, akafikisha umri wa kuanza kuota meno akaanzia kuota meno ya juu. Awapo mkubwa hupatwa na mabalaa / mikosi. Mikosi hiyo uhusiana na kufiwa na waume au wake. Yaan yeye akiolewa hadumu na waume, hufiwa na waume zake katika mazingira ya kutatanisha. Vivyo hivyo kwa wanaume.... Na pia huleta mikosi katika ukoo.....NAOMBA HILI LISIHUSIANE NA WENYE MAAMBUKIZI YA UKIMWI.

SOLUTION.... Walichokuwa wakifanya iwapo mtoto ataanzia kuota meno ya juu, mtoto huyo hutupwa mbaaali na kijiji akiwa hai tena eneo ambalo watu hupita ili wamuokote. Na jamii hiyo huhesabu kama mtoto huyo amekufariki.

KINGA..... Mtoto anapozaliwa hupakwa utomvu wa miti fulani katika fizi ili kuzuia hali hiyo isitokee.

2. Iwapo mwanamke atazaa mtoto kabla ya kuolewa, akienda kuolewa mtoto yule huuwawa aidha kwa uwazi ama kwa kificho. Nasema kwa uwazi kwa maana hii, huyo mtoto kama atakuwa bado ni mdogo atawekwa shambani na wale ng'ombe wanaokokota jembe hupita na humkanyaga na kufa.

Kwa kificho mtoto yule huweza hata kupewa miti/majani yenye sumu kwa siri ili afe. Kumbuka ukatili wote huo hufanywa na upande wa baba wa kambo wa mtoto yule yaani ukoo wa mume alipoolewa mwanamke huyo.

CHANZO: Inasemekana mtoto huyo akilelewa na upande wa baba wa kambo huyo, atachukua bahati ya ukoo huo na kuwazidi watoto wengine watakaozaliwa baada ya mwanamke huyo kuolewa hapo.

Wewe mwanaMMU ushawahi kusikia mila hizi??? Je zina ukweli wowote???

Pia unaweza kushare nasi mila na desturi ulizowahi kusikia / kushuhudia....

Hizi mila zipo katika kabila fulani sitopenda kulitaja tafadhali.......

Wasalaaaam

CL
 
firstbone wangu,ni wa kiume na alianzisha meno ya juu,sina imani yoyote mbaya kuhusu hilo tho mama mkwe wangu alijaribu kupiga kelele eti ni vibaya cjui apakwe dawa cjui vipi,nilimjibu simpo tu,mama hii ni familia yangu,ninajua namna ya kuiendesha familia yangu kwa hiyo naomba uniachie nifanye maamuzi mi mwenyewe.kakaa kimya mpaka wa leo.

charminglady amang'ana mukungu
 
Hapa kama mimi. This is my family and mimi ndiye mwenye maamuzi ya familia yangu.
 
.....#UjingaWaMuafrika na Imani potofu, sawa na kujijengea mawazoni kwamba ukipata 1st born #MtotoWaKiume ndio u-rijali!

Habari za weekend wadau wa MMU???

Tangu nimejitambua sikuwahi kusikia kuhusu mila na desturi hizi, juzi kati ndo nilianza kusikia. Sijui kama zina ukweli wowote???

1. Iwapo mtoto akizaliwa, akafikisha umri wa kuanza kuota meno akaanzia kuota meno ya juu. Awapo mkubwa hupatwa na mabalaa / mikosi. Mikosi hiyo uhusiana na kufiwa na waume au wake. Yaan yeye akiolewa hadumu na waume, hufiwa na waume zake katika mazingira ya kutatanisha. Vivyo hivyo kwa wanaume.... Na pia huleta mikosi katika ukoo.....NAOMBA HILI LISIHUSIANE NA WENYE MAAMBUKIZI YA UKIMWI.

SOLUTION.... Walichokuwa wakifanya iwapo mtoto ataanzia kuota meno ya juu, mtoto huyo hutupwa mbaaali na kijiji akiwa hai tena eneo ambalo watu hupita ili wamuokote. Na jamii hiyo huhesabu kama mtoto huyo amekufariki.

KINGA..... Mtoto anapozaliwa hupakwa utomvu wa miti fulani katika fizi ili kuzuia hali hiyo isitokee.

2. Iwapo mwanamke atazaa mtoto kabla ya kuolewa, akienda kuolewa mtoto yule huuwawa aidha kwa uwazi ama kwa kificho. Nasema kwa uwazi kwa maana hii, huyo mtoto kama atakuwa bado ni mdogo atawekwa shambani na wale ng'ombe wanaokokota jembe hupita na humkanyaga na kufa.

Kwa kificho mtoto yule huweza hata kupewa miti/majani yenye sumu kwa siri ili afe. Kumbuka ukatili wote huo hufanywa na upande wa baba wa kambo wa mtoto yule yaani ukoo wa mume alipoolewa mwanamke huyo.

CHANZO: Inasemekana mtoto huyo akilelewa na upande wa baba wa kambo huyo, atachukua bahati ya ukoo huo na kuwazidi watoto wengine watakaozaliwa baada ya mwanamke huyo kuolewa hapo.

Wewe mwanaMMU ushawahi kusikia mila hizi??? Je zina ukweli wowote???

Pia unaweza kushare nasi mila na desturi ulizowahi kusikia / kushuhudia....

Hizi mila zipo katika kabila fulani sitopenda kulitaja tafadhali.......

Wasalaaaam

CL
 
ni wazushi tuuu! kuna mila pia zinazomkataza mwanamke mjamzito kula mayai eti mtoto atakuwa na upara. kwa sasa nasikia zimeanza kupotea.
 
Destuli hizo ni za kabila gani? Makabila yetu yote yana/yalikuwa na "upuuzi" wa namna hiyo! Sisi kwetu msichana akibeba mimba nje ya ndoa (enzi hizo ) alikuwa anatupwa kwenye tinga tinga afie kule taratibu kuliko kuleta aibu kwenye familia na ukoo!
 
mi sijawahi kusikia chochote katika hivo

Utayajulia wapi na wewe umeanza kuongea tu wakakupeleka 'baby care', darasa la kwanza 'english medium', sekondari 'Maria Goreth' if not 'Feza girls'...................Chuo kikuu wakaona si vibaya ukisoma 'Leeds University'!!

Hayo ya mila ukitaka kuyajua tufuate sisi wa 'mbwa kala mbwa', unaweza kustaajabu kuna mila ya Wakerewe inaitwa kutakasa ama utakaso. Mume akifa anataletwa 'mtakasaji' maalum anayefahamika ili 'kumtakasa' mjane, tena kwa acapela bila vocal!!!
 
firstbone wangu,ni wa kiume na alianzisha meno ya juu,sina imani yoyote mbaya kuhusu hilo tho mama mkwe wangu alijaribu kupiga kelele eti ni vibaya cjui apakwe dawa cjui vipi,nilimjibu simpo tu,mama hii ni familia yangu,ninajua namna ya kuiendesha familia yangu kwa hiyo naomba uniachie nifanye maamuzi mi mwenyewe.kakaa kimya mpaka wa leo.

charminglady amang'ana mukungu

Hahahaaaaaa..... Amaiya weito!

Unajua vitu vingine ni imani tu, sali kwa imani yako na Mungu atakusaidia!!!!
 
Utayajulia wapi na wewe umeanza kuongea tu wakakupeleka 'baby care', darasa la kwanza 'english medium', sekondari 'Maria Goreth' if not 'Feza girls'...................Chuo kikuu wakaona si vibaya ukisoma 'Leeds University'!!

Hayo ya mila ukitaka kuyajua tufuate sisi wa 'mbwa kala mbwa', unaweza kustaajabu kuna mila ya Wakerewe inaitwa kutakasa ama utakaso. Mume akifa anataletwa 'mtakasaji' maalum anayefahamika ili 'kumtakasa' mjane, tena kwa acapela bila vocal!!!

Wakwetu hebu ongezea hii kwa Wakerewe, mwanaume akifariki kama hakuwa amepata mtoto huwa wanamuwekea gunzi kwenye ma.sa.bu.ri kisha wanamzika nayo.

Mmmmh... Mila zingine!!!!! 😕 😕
 
ni wazushi tuuu! kuna mila pia zinazomkataza mwanamke mjamzito kula mayai eti mtoto atakuwa na upara. kwa sasa nasikia zimeanza kupotea.

Hii ni kweli ila sio kama mtoto atakua na upara. Ila inamsaidia mama mwenyewe. Kuna mila nyingi ambazo wazee hawakutuambia maana yake halisi ila walificha na walikua na maana yao...ndo mana uzazi mwingi siku hizi ni operation tu...mama anakula sana mtoto anakua mkubwa ukimwambia kula hiki, hiki usile anasema mila hiyo imepitwa na wakati...
 
ni kweli mkuu! kwetu mila zinakaza yafuatayo: 1.ku-hug (kwa kawaida) baina ya mzazi na mtoto wa jinsia tofauti au baina ya watoto wa jinsia tofauti 2. mtoto kuingia chumbani kwa wazazi bila sababu na ruhusa maalumu mila haziruhu. sababu ni kuwa mtoto atapata laana. lakini walikuwa wanaepusha mmomonyoko wa maadili uliopo sasa.....mzazi kufanya mapenzi na mwanae, kaka na dada kula tunda, n.k
 
hizo imani mi mwenyewe sina na wala big boy wangu hawezi kuwa lolote.atakae mloga ndamughecha!!!!

Ni kweli mkuu, hata mie nina imani kwamba kama kitu sio kinyume na Mwenyezi Mungu na hakinidhuru kiafya huwa hakinisumbui akili.....
 
Habari za weekend wadau wa MMU???

Tangu nimejitambua sikuwahi kusikia kuhusu mila na desturi hizi, juzi kati ndo nilianza kusikia. Sijui kama zina ukweli wowote???

1. Iwapo mtoto akizaliwa, akafikisha umri wa kuanza kuota meno akaanzia kuota meno ya juu. Awapo mkubwa hupatwa na mabalaa / mikosi. Mikosi hiyo uhusiana na kufiwa na waume au wake. Yaan yeye akiolewa hadumu na waume, hufiwa na waume zake katika mazingira ya kutatanisha. Vivyo hivyo kwa wanaume.... Na pia huleta mikosi katika ukoo.....NAOMBA HILI LISIHUSIANE NA WENYE MAAMBUKIZI YA UKIMWI.

SOLUTION.... Walichokuwa wakifanya iwapo mtoto ataanzia kuota meno ya juu, mtoto huyo hutupwa mbaaali na kijiji akiwa hai tena eneo ambalo watu hupita ili wamuokote. Na jamii hiyo huhesabu kama mtoto huyo amekufariki.

KINGA..... Mtoto anapozaliwa hupakwa utomvu wa miti fulani katika fizi ili kuzuia hali hiyo isitokee.

2. Iwapo mwanamke atazaa mtoto kabla ya kuolewa, akienda kuolewa mtoto yule huuwawa aidha kwa uwazi ama kwa kificho. Nasema kwa uwazi kwa maana hii, huyo mtoto kama atakuwa bado ni mdogo atawekwa shambani na wale ng'ombe wanaokokota jembe hupita na humkanyaga na kufa.

Kwa kificho mtoto yule huweza hata kupewa miti/majani yenye sumu kwa siri ili afe. Kumbuka ukatili wote huo hufanywa na upande wa baba wa kambo wa mtoto yule yaani ukoo wa mume alipoolewa mwanamke huyo.

CHANZO: Inasemekana mtoto huyo akilelewa na upande wa baba wa kambo huyo, atachukua bahati ya ukoo huo na kuwazidi watoto wengine watakaozaliwa baada ya mwanamke huyo kuolewa hapo.

Wewe mwanaMMU ushawahi kusikia mila hizi??? Je zina ukweli wowote???

Pia unaweza kushare nasi mila na desturi ulizowahi kusikia / kushuhudia....

Hizi mila zipo katika kabila fulani sitopenda kulitaja tafadhali.......

Wasalaaaam

CL

hiyo namba moja hata mimi nilishaga aminishwa hivyo lakini pia inadaiwa kwamba mtoto huyo aliyeota meno ya juu hukua akiwa na mvuto mkubwa kwa RADI kwa hiyo mvua ikianza kunyesha yenye radi watoto wengine mnatengwa nae ili msidhurike na radi ambayo huwa inawapiga watoto wa aina hiyo
Hata hivyo ili kuwanusuru na mkosi huo wa kupigwa na radi huwa wanapakwa masizi sehemu ya paji la uso ili kumficha radi isimwone (yaani anapakwa masizi meusi ya chungu cha kupikia chakula kwenye paji la uso)

NI HAYO TU
 
Hiyo ya kwanza nimeisikia na ilkuwa maarufu sana kwa kabila moja linapatikana mikoa ya kaskazini ila hiyo ya pili bado!!!!
 
Back
Top Bottom