Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nyarngato, Apr 12, 2012.

 1. n

  nyarngato Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwatafakari kaka zangu wakisukuma, haswa walio kulia vijijini na sasa wapo mjini na pia mambo yao ni mazuri kwa kulingana na backgroung zao, kitu kimojaninachongundua wanashoboka sana na wadada haswa ambao wanaonyesha kuwa wa matawi ya juu au majina makubwa mjini ( sitaki kutolea mifano ya kaka zangu marehemu wa kisukumawaliokuwa na majina na wamefia kwa sababu ya wanawake)

  Anaweza kuwa anajua tabia mbaya za mdada lkn yupo tu, ilimradi inampa sifa mbele ya wenzake kuwa na huyo mdada, itakama kwenye hayo mahusiano hayampi furaha ila sifa

  Na mbaya zaidi wanaishia kuoana au kusogezana ndani... matokeo yake wanakuwa ni wanyoge sana kwenye ndoa maana wao ni wavumilivu na hawaachi bali wanaachwa.

  Mara nyingi kitu ambacho huwa najiambia ni kwamba the wife has given him a favour to be with her.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kumbeeee..... ngoja nitafute msukuma
  ila aweze kuongea kiswahili vizuri
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ngoja niongeze moja baridi halafu nitakuja kuchangia...
   
 4. n

  nyarngato Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhh hata mie niende kwanza kwenye moja moto maana kunamtani wangu mmoja hapa kishanipigia simu anatukana
   
 5. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Utafiti wako unaweza kuwa na ka ukweli fulani, ila kwa wanaume wa Kisukuma, atakuvumilia na yote lakini sahau kuwa peke yako, mhali/kupalika=polygamy
   
 6. n

  nyarngato Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ndio watu ambao naona wanaweza kuwa controlled sana... unayajua mambo ya 'dada nimekudondokea'
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jana na Leo....
   
 8. M

  Mnyama Hatari JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Toa mifano ya walio hai.

  Toa mifano...

  Mifano tafadhali...

  Bila mifano ya kutosha na kuridhisha hitimisho langu ni kwamba hii mada yako ina sifa zote za kuitwa 'pumba za wiki'.
   
 9. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Hata akidondokewa, ajue hadondokwei peke yake, na kwa jinsi wanavyoenzi na kujua kodondokea mwanamke/msichana anaweza amini yuppo mwenyewe kumbe hayuko peke yake
   
 10. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kazi kwenu wadada
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mleta uzi kafanya utafiti kwa wasukuma pekee yake? Kama hujacheki makabila mengine, basi kuna tatizo na huu uzi. M4C
   
 12. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  tutake radhi..'suala la mapenz halihusian na ukabila hyo ipo kwa mtu mmoja mmoja.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kumuona Kanumba basi unajidai unawajua wasukuma wote.

  Mwanamme wa kisukuma hajibizani na mwanamke hata siku moja, wana knguvu mno kukaa wanahangaishana na wanawake.

  Kafanye risechi yako upya.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Na hakika hajakutana na msukuma orijino, kakutana na wale majirani jirani wanaopenda sema ni wasukuma.

   
 15. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  ............unatoka kiulaiiini unaenda kuvuta chuma kingine, bila kuleta mgogoro na mwanamke mwenye ngega aka pagu
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Embu fafanua Konnie. . . .
  Kama vipi nimpotezee yule wangu.
   
 17. n

  nyarngato Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ujue tu ukabila ndio calture ambayo inafanya jamii fulani ibehave kwa namna fulani....
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Bwana mdogo, tuheshimiana,kufa wasukuma wawili isiwe sababu ya kukufanya ujidai unawajua wasukuma.
   
 19. t

  thengoshahimself Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa mpuuz kwel hata haelewek.uctukane watu bla hoja zenye mashko
   
 20. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  yeee......kwa kweli ddadda limoyo langu limekudondokea nataka tupambanishe majifua.
   
Loading...