Wanawake wengi huwa na tabia ya kulalamika wamechoka katikati ya mechi au kwenye harakati za goli la pili, ili hali mwanaume amejipanga kucheza mechi kuu. Utamsikia "Humalizi tu, mimi nimechoka"...
Ndg wana Jf uzoefu wangu unaonesha kuwa watu wengi hutambua au kubaini upendo kupitia thamani, sehemu kubwa ya kundi hili ni lile lenye jinsia ya "KE" Hapa mtanikosoa lakini ndiyo mtazamo wangu na...
Nakupenda kwa dhati ila usiniumize mi nikipenda nimependa kweli haya yalikuwa ni maneno niliyoyakuta kwenye simu ya mpenzi wangu tar. 07/07 mwaka juzi. hapa ni baada ya kunipa simu yake...
Habari zenu wapendwa,
Hivi kwanini mwanamke mwenye mapenzi ya kweli humpata mwanaume asiye na mapenzi ya kweli na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli hupata mwanamke asiye na mapenzi ya kweli...
Igweeee!
Wanawake ama kweli mwalimu wetu kipofu. Unakuta mwanaume ana lengo na wewe zuri kabisaa, anataka kukuboreshea maisha uishi kama Dubai bongo hii hii, unamnyali, unamdengulia kisa mbaya...
Habari wana JF!
Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu.
Roho inaniuma lakini sina cha kufanya!
Kuna jamaa...
Habari za saa hii wana MMU,
Ni wiki sasa tangu nije na mkasa wangu kuomba ushauri hapa tujikumbushe."Nilienda nyumbani kwa wazazi wangu kuwapa taarifa ya kutaka kuoa kikao kikaitishwa familia...
No sex before marriage is a beautiful thing man, both ethically and religiously. And i would love to practice that when my time comes about 6, 7, or never years in the future. But for a no Jonas'...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Dodoma.
Mwaka mmoja sasa nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana hapa Dodoma hakuwa na tatizo na kutotahiriwa. kwangu lakini ni wiki moja sasa...
Chukua taadhali kuu unapojiunga, unapoombwa mwaliko wa urafiki nk kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook.
Kuna hili kundi la wenzetu watoto wa kitanzania ambao sio rizki katika facebook...
Wanajamvi,samahanini naombeni ushauri wenu.
Nilikuwa na mpenzi wangu tumedumu miaka sasa lakini mwaka juzi alinipigia simu akiwa kwao Arusha akaniambia kuwa ana mimba na mimi nikahakikisha kweli...
Ni binti tuliojuana naye kwa muda wa kama miezi minne sasa, tulianza kufahamiana kupitia WhatsApp, tukachat muda mrefu mpaka kufikia kuwa wapenzi, japo tulikuwa mikoa ya mbali.
Tulitumiana picha...
Nimekuja kuomba ushauri wapendwa,
Kuna jamaa nampenda mpaka basi lakini vitendo vyake sio nimevumilia mpaka nikaonekana boya kwa marafiki zangu ila now vitendo vyake vinanifanya nikose amani...
Stori yenyewe ni hivi. Nina my girlfriend wangu toka muda sana ananilazimisha na kuniomba tujaribu kinyume na maumbile , ila kiukweli mimi sitokuja kufanya hii kitu kwa sababu kwanza sidhani kama...
Mimi ni kijana na nina msichana ambaye hakika nataka Mungu akijalia aje awe mke wangu wa ndoa kwa sababu nampenda sana!.
Nilikuwa bado sijafanya tohara kwa sababu kwetu si desturi na mpenz wangu...
Jambo wana JF,
Kitu iliyonitokea leo hakika umenivuruga kisaikolojia, nilikutana na binti fulani maeneo ya kumbi za starehe,bila ajizi wa hiana nikaamua kutupa ndoano,kama vile nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.