Nilichokishuhudia gues house za dar es salaam!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Naandika kwa nia nzuri ,wala si kuwahukumu watu ila najua iatwafumbua macho wengi!
Aidha nimeleta kwenye jukwaa hili makusudi kwa itagusa sana mahusiano !
Hivi karibuni nilipokea wageni toka mkoani walikuja kwa shughuli maalum!
Kutikana na umbali wa mkoa walikotoka niliona ni uungwana niwatafutie sehemu walale siku ya Kwaza afu waanze ratiba yao siku ya pili!
Nilifika eneo hilo ambako ndipo walipokuwa wanafanyia shughuli yao na kuanza kuutafuta nyumba ya wageni....eneo hilo limezungukwa na nyumba za wageni zaidi ya 7!na zote zilijaa .....baada ya kuona muda unaondoka niliamua kukodi boda2 ilianizungushe kwa haraka!
Hapo ndipo hadithi ilipoanza!
Kwanza alinihoji unataka watu wangapi nikwammwambia ni kama vyumba 10 ,akasema itakuwa ngumu kupata ! nikamhoji ni kwa nini akasema maeneo yale mida ile ni ngUmu ...akaaza kunizungusha !
kILA TULIPOENDA TULIKUTA PAMEJAA NA WAHUDUMU WA USEST WALIUAMBIA LABDA TUSUBIRI HADI SAA 2USIKU NDIPO WATAKUWA NA UAHAKIKA KAMA KUNA VYUMBA AU LAA!
kuna guest 3 tulienda tukwaambiwa pamejaa na pale nje kulikuwa na watu wanasubiri' wengine wamalize na wao waingie'!
Nilipoendelea kushangaa na yule dereva kunigundua kuwa sijui ile biashara ndipo alipoanza kunisimulia jinsi nyumba za wageni zinavyolpa kwa kupokea wageni wanao kodi kwa muda mfupi kufanyia uzinzi!.....
kINGINE NILICHOKISHUHUDIA NI UWEPO WA WASICHANA AMBAO
WAMEKODI VYUMBA NA WAKISIKIA TU KUNA MGENI ANAULIZIA VYUMBA WANATOKA WAKIWA NA KANGA MOJA NA KUJIPITISHA !
KWA UJUMLA BIASHARA YA NGONO NI KUBWA SANA!SIKUJUA NI KWANINI WATU WANABADIILSHA NYUMBA ZAO KUWA GUEST KWA KASI KUBWA!
MWISHO NILIBAINI KUWA YULE DEREVA NI MTEJA WA GUEST ZOTE ALIZONIPELEKA NA KULE ...BAHATI MBAYA TUKIWA TUNATAFUTA VYUMBA BAHATI NZURI/MBAYA ALIKUTANA NA WATU WAWILI AMBAO WANAFAHAMIANA NA NI WANANDOA AMBAO NAO WALIKUWA WAMECHUKUA VYUMBA HUMO!
TAFAKARI!
 
unashangaa nini mbona hiyo ni kawaida ya bongo
 
-Hatuna hofu ya mungu:
-Hatujui thamani ya mapenzi utashangaa waliojaa humo ni wake za watu na waume za watu.
-Hatuiheshimu miili yetu iliyoumbwa kwa utukufu.
Mungu atusamehe tuu.
 
Naandika kwa nia nzuri ,wala si kuwahukumu watu ila najua iatwafumbua macho wengi!
Aidha nimeleta kwenye jukwaa hili makusudi kwa itagusa sana mahusiano !
Hivi karibuni nilipokea wageni toka mkoani walikuja kwa shughuli maalum!
Kutikana na umbali wa mkoa walikotoka niliona ni uungwana niwatafutie sehemu walale siku ya Kwaza afu waanze ratiba yao siku ya pili!
Nilifika eneo hilo ambako ndipo walipokuwa wanafanyia shughuli yao na kuanza kuutafuta nyumba ya wageni....eneo hilo limezungukwa na nyumba za wageni zaidi ya 7!na zote zilijaa .....baada ya kuona muda unaondoka niliamua kukodi boda2 ilianizungushe kwa haraka!
Hapo ndipo hadithi ilipoanza!
Kwanza alinihoji unataka watu wangapi nikwammwambia ni kama vyumba 10 ,akasema itakuwa ngumu kupata ! nikamhoji ni kwa nini akasema maeneo yale mida ile ni ngUmu ...akaaza kunizungusha !
kILA TULIPOENDA TULIKUTA PAMEJAA NA WAHUDUMU WA USEST WALIUAMBIA LABDA TUSUBIRI HADI SAA 2USIKU NDIPO WATAKUWA NA UAHAKIKA KAMA KUNA VYUMBA AU LAA!
kuna guest 3 tulienda tukwaambiwa pamejaa na pale nje kulikuwa na watu wanasubiri' wengine wamalize na wao waingie'!
Nilipoendelea kushangaa na yule dereva kunigundua kuwa sijui ile biashara ndipo alipoanza kunisimulia jinsi nyumba za wageni zinavyolpa kwa kupokea wageni wanao kodi kwa muda mfupi kufanyia uzinzi!.....
kINGINE NILICHOKISHUHUDIA NI UWEPO WA WASICHANA AMBAO
WAMEKODI VYUMBA NA WAKISIKIA TU KUNA MGENI ANAULIZIA VYUMBA WANATOKA WAKIWA NA KANGA MOJA NA KUJIPITISHA !
KWA UJUMLA BIASHARA YA NGONO NI KUBWA SANA!SIKUJUA NI KWANINI WATU WANABADIILSHA NYUMBA ZAO KUWA GUEST KWA KASI KUBWA!
MWISHO NILIBAINI KUWA YULE DEREVA NI MTEJA WA GUEST ZOTE ALIZONIPELEKA NA KULE ...BAHATI MBAYA TUKIWA TUNATAFUTA VYUMBA BAHATI NZURI/MBAYA ALIKUTANA NA WATU WAWILI AMBAO WANAFAHAMIANA NA NI WANANDOA AMBAO NAO WALIKUWA WAMECHUKUA VYUMBA HUMO!
TAFAKARI!

ilikuwa maeneo gani?kama ni dar bila shaka ni manzesse au buguruni
 
kuna guest houses ziko pembezoni lakin kila ukienda zimejaa 'wageni wenyeji'. wangeita "madanguro." Mungu awalipe sawa na matendo yao.
 
ujifunze ukiwa na wageni unatafuta vyumba mapema aukjiandaa kwa gharama za hotel kabisa.
 
kINGINE NILICHOKISHUHUDIA NI UWEPO WA WASICHANA AMBAO
WAMEKODI VYUMBA NA WAKISIKIA TU KUNA MGENI ANAULIZIA VYUMBA WANATOKA WAKIWA NA KANGA MOJA NA KUJIPITISHA !
KWA UJUMLA BIASHARA YA NGONO NI KUBWA SANA!SIKUJUA NI KWANINI WATU WANABADIILSHA NYUMBA ZAO KUWA GUEST KWA KASI KUBWA!
MWISHO NILIBAINI KUWA YULE DEREVA NI MTEJA WA GUEST ZOTE ALIZONIPELEKA NA KULE ...BAHATI MBAYA TUKIWA TUNATAFUTA VYUMBA BAHATI NZURI/MBAYA ALIKUTANA NA WATU WAWILI AMBAO WANAFAHAMIANA NA NI WANANDOA AMBAO NAO WALIKUWA WAMECHUKUA VYUMBA HUMO!
TAFAKARI!
Ni maeneo gani hayo tafadhali, maana nataka kuchangia gharama siku nikitua huko mujini
 
Ukiwa na wageni fanya booking ya vyumba hotel zenye hadhi, haya magest hakuna ustaarabu hata kidogo.
Ni kweli umenena vyema rafiki,yaani hata ukimwambia mtu nilikua guest yani ina sound flan ya kutokua na heshma iv
Na hayo mambo meng yapo mitaa ya sinza
 
Kuna Guest House, Then Lodge, then Hotels... Na hotels zinatofautiana zisizo na nyota na zenye nyota.

Ungetaja mitaa uliyopita wajuvi wa mjini wangekupa uchambuzi mzuri zaidi, lakini kwa kifupi biashara ya guest inalipa sana. Next time mwambie jamaa wa boda boda akupeleke hadi kona bar!
 
Guest za Buguruni zinaanza kujaa kuanzia saa 5 asubuhi ila ikifika saa 6 usiku utakuta kibao kinasoma VYUMBA VIPO
 
ilikuwa maeneo gani?kama ni dar bila shaka ni manzesse au buguruni

Manzese kuna Lodges nyingi sana kuliko Guest House asingekosa vyumba labda kama alikuwa anazungukia zile za Tsh.5000/=
 
Kuna Guest House, Then Lodge, then Hotels... Na hotels zinatofautiana zisizo na nyota na zenye nyota.

Ungetaja mitaa uliyopita wajuvi wa mjini wangekupa uchambuzi mzuri zaidi, lakini kwa kifupi biashara ya guest inalipa sana. Next time mwambie jamaa wa boda boda akupeleke hadi kona bar!

Halafu aulizie Central!!
 
Back
Top Bottom