Naomba niulize, juzi juzi nimetairi watoto wangu wawili (vidume vya mbegu), lakini ma mkwe akatuita chemba na katuonya haturuhusiwi kudinyanya wenyewe wala kuchepuka mpaka watoto wapone kabisa...
Awe na sifa zifuatazo;
1 .Awe mcha Mungu
2. Elimu atleast form 6/diproma na kuendelea
3. Umri miaka 21 hadi 24
4. Asiwe mwembamba sana, asiwe mnene sana awe normal
5. Rangi ya ngozi isiwe black...
Mimi sioni logic kabisa kwa mfano mmeenda kabisa eneo la tukio eti unaona ukianza mautundu wewe kama mtoto wa kike basi utaonekana malaya nop my dear.
Kwanza mpaka wewe ufike pale eneo la...
Kuibiwa sio tatizo, shida ni kuibiwa bila kutambua, ujanani nilikuwa na mpenzi kila nikiacha wallet anachomoa, mimi naweka hesabu. Siku ya siku nikampa jumla aliyojichumia so far! Alafu sikumwacha...
jamani habari za Leo wapendwa, kama ilivo heading pale juu!
Namtafuta sana Huyu dada popote alipo naomba anitafute plzzzz plzzzz tulikutana humu kwenyejukwaa hili tukafahamiana na tukawa...
Nina majuto sana hapa nilipo, kuna binti hapa kazini ambae ni mgeni mimi ndiye nilikabidhiwa kumtrain, anaelekea miezi mitatu sasa, kutokana na ukaribu tukajikuta tumezini, ingawa nimeoa na nina...
Nihivi karibuni nilipokea simu kutoka kwachumba wangu huku akiwa na huzuni sana,kwa kweli juzuni yake ilikua zahili. aliniambia ahadi yetu ya uchumba imefika kikomo.
SIkuamini hilo kwani kwa...
Hata uoe mwanmke kikongwe,mwanamke mbaya ambaye wewe unaamini hakuna mwanaume atakayeweza kumtongoza ujue wapo wanaume watakao mtongoza.
Watu hujiuliza swali moja tu nalo ni kampendea nini...
Mimi ni kijana 25yrs naishi dodoma, mrefu kiasi mweupe kiasi nywele nyeusi. Watu wengi husema mm ni mpole.Nimejitokeza katika ukurasa huu ili kutafuta rafiki mmoja tu wa kike awe mkarimu ambaye...
Neno la nitakupenda kwenye shida na raha neno jepesi sana ila upande wa pili ni kilio.
Unaposema shida unaipenda means uko radhi kuipokea watoto wengi mashuleni wanateseka kuelewa sababu ya...
Naombeni mawazo yeni wana jamiiforum kuhusu hili.
Hivi inakuwaje mume wa mtu anafuatilia undani wa mke wa mtu. Mfano kuuliza tayri ushapata mimba au akiona nguo za ndani mpaka aulize au aseme...
Na demu wangu mmoja hivi ni msanii mkubwa tu, lakini vimbwanga vyake ni noumah.
Utakuta wakati mwingine nikitaka kumpiga picha mfano ana taulo atataka aache maziwa wazi au kama kajisahau hivi au...
TGIF. Another school through rap music. Dr Dre, i'm sure you already know the name. What's the difference is a track released in 1999 from his Dre 2001 album.First verse is a summary of his...
Wakuu natumaini mko poa napenda kujitokeza kuwapa hali niliyonayo kwa sasa.
Nilitokea kuwa katika mahusiano mwanamke flani maeneo haya ya kwetu baada ya kusafiri kwa muda niliporudi nikakuta...
Habarini wana MMU,hii ni mikasa iliyonipata katika harakati zangu za umalaya wa kutafuta wanawake wa kwenye mitandao,mm ni mdau mkubwa wa JF ila nimekuja kivingine kuficha aibu zangu cos kuna watu...
Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mimi napenda wanawake weupe.Moyo hautaki kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahisi nitakua natamani sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material...
Habari wanajamii forum,
Mimi ni mama, mme wangu hawajibiki kwa chochote katika familia. January aliniambia nikope pesa ili mtoto aweze kwenda shule na baadaye atarudisha kwa kusema kuwa mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.