Kama hauna ushauri basi jifunze

Kama hauna ushauri basi jifunze

Rutorial k

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
1,069
Reaction score
1,061
Nihivi karibuni nilipokea simu kutoka kwachumba wangu huku akiwa na huzuni sana,kwa kweli juzuni yake ilikua zahili. aliniambia ahadi yetu ya uchumba imefika kikomo.

SIkuamini hilo kwani kwa jinsi mapenzi yetu yalivyokua ya dhati sikufikiri tungeachana tena kwa gafla kiasi hicho bila kugombana. basi binti akanieleza kua alikua anasubiri nimaluze UE (university exam) ili anieleze nn sababu

Binti alidai kuwa alimueleza mama yake kwamba kapata mchumba na kwa kua wote tunaishi kijiji kimoja alimueleza mchumba huyo ninani.binti anadai mama yake alimkalipia mno na kumweleza kua akiendelea kua na Mimi atamlaani yeye kama mama hataki kusikia hilo jina langu kwake

Nilimuliza sababu za mama yake kuwa mkali hadi kutishia kumlani mwanae.binti alisema kisa ni mababu zetu waligkmbana hapo zama I na wakaapa familia zetu kutoshilikiana kwa lolote. akasema chanzo ni babu Yang(ambalo ni Nina langu) kumdhulumu babu yake ng'ombe wake.

Anasema babu yake alitaka babu yangu ampatie binti ili endeleze ukoo wake baada ya mke wake kushindwa kupata mtoto.,walikubaliana na babu yake akatanguliza ng'ombe kazaa binti akikua na kutauluwa basi angempa mzee Hugo. ila alipokuwa hampa binti na wala hakumrudishia ng'ombe wake. hivyo wakalaniana.

Binti alitisha kwa kusema matatizo yote yaliyo ktk familia yetu yanachangiwa name swala hilo. nikifikiria fimilia yangu naona kama ni kweli kwani kuna matatuzo makubwa mno. so alidai bila kurudisha hzo mali sitafanikiwa na elimu yangu ni bure.

huwezi kuamini ila niko njja panda sijui la kufanya nawaza sana sana.kama huna ushauri basi jifunze kutimiza ahadi. asanteni na pole kwa kuwachosha name article hii ndefu.
 
Pole sana lakini huyo mzazi kakosea sana kumdhulumu mwanae hisia zake kwako.
Kwanza wamemuathiri kisaikolojia ambapo madhara yake watakuja yaona baadae ambapo hata akipata mtu mwingine hata dumu nae.
Yaani atakuwa anaolewa na kuachika na kila mwanaume endapo kama alikupenda kwa dhati toka moyoni
 
Laana za babu zenu toka enzi mpaka sasa bado mnaziendeleza tu?Yaani mapenzi yenu yalimalizwa na babu zenu du!basi hatari maana kama ni hivyo endeleeni kudumisha hiyo laana,mwache aende zake na kwa kuwa suala la laana kalileta yeye na anaamini katika laana basi hata nae kalaaniwa kulala na wewe pasipo ndoa hivyo hukumu ipo pale pale
 
CIUsW_YUcAA5utI.jpg
 
no more effort than letting her go! coz akipata matatizo watayabusisha na hilo.I'm so scared
 
waweza kuona ni hadisi kwasababu hajakukuta.
 
Back
Top Bottom