Namtafuta dada mmoja anaitwa ROSE

Namtafuta dada mmoja anaitwa ROSE

Bolloyank

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
46
Reaction score
9
jamani habari za Leo wapendwa, kama ilivo heading pale juu!

Namtafuta sana Huyu dada popote alipo naomba anitafute plzzzz plzzzz tulikutana humu kwenyejukwaa hili tukafahamiana na tukawa marafiki mda mrefu ilikuwa Mwaka 2013. Badae nilienda nje ya nchi sasa nikapoteza mawasiliano ROSE sasa nimerudi nakutafuta kumbuka tulijuana humu ulikuja kwangu dar Maeneo ya mbagala Misheni wakati huo ulikuwa unaishi Chalinze maeneo ya Msata ulikuwa unauza duka la Mwl.mmoja Hivi simkumbuki jina. Nakutafuta sana kama utakuwa bado uko humu nitafute plz no zangu 0757347907.
NB NIMEWEKA NAMBA KWA AJIRI YA KUMTAFUTA NDUGU YANGU SIITAJI NITAFUTWE NA MTU MWINGINE ASIYENIJUA NA MI NISIYE MJUA.
OTHER WISE KAMA UNAMJUA HUYU NDUGU NISAIDIE.
naomba kuwasilisha na ntashukuru kama utajitokeza. Ahsanteni!
 
Haya Rose1980 unaitwa huku.

CC MwanajamiiOne, LD,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom