for long time i have been here writing jokes and false stories but here am very serious
natafuta mwanamke matured awe mnene;maji ya kunde umri 28-32..njoo pm kama upo ready..am a boy 24 yrs
Ama kwa hakika huyu mwanamke sijui hata amenipa nini, hivi majuzi niliandika uzi hapa jukwaani kuhusiana na kufumania message kwenye simu ya mpenzi wangu ambaye ni mwanafunzi.
Baada ya kumueleza...
Wakati namuoa sikujua kama ana majini, hata hivyo nikiri kwamba sikufanya utafiti wa kutosha kabla ya kumuoa tulidumu kwa miezi sita tu katika uhusiano na kisha kuoana, tuna miaka 4 sasa.
Miezi 4...
Na una uwezo wa kukataa...we ukiachia sisi tunajua upo safe na mpira lazima tuweke nyavuni.
Kwahiyo swala la salama kondom inawahusu sana maana nye ndo inawaathiri zaidi.
Kama hamjajipanga swala...
Hili jambo nimelichunguza kwa muda nimebaini kwamba wanawake wengi wa kitanzania hupendelea wanaume walioajiriwa kuliko waliojiajiri.
Haijalishi kama umeajiriwa na nani au nini na unalipwa kiasi...
ndugu zangu mimi nina dada yangu mtoto wa baba yangu mdogo but tunaishi nae home baada ya baba yake kufariki basi mzee wangu akachukua jukum la kumlea mpaka akakua basi kwa bahati mbay CSEE result...
Jamani tangia nitoke tumboni kwa mama yangu mpaka leo sijawahi kufanya mapenzi na mwanmke yoyote.Eti jamani alafu sui kutongoza.
Any grly ambae yuko tayari kua na mimi nicheki whatsapp basi.
Kwa...
Habarini za jumapili wanajamvi, hili swali nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu sana lakini nalipuuzia, na leo tena nimeona ndio nimeamua niwaulize......nimetoka zangu kanisani nikapita sehemu kupata...
Habari wakuu. Mimi nilikuwa nime`date na wasichana wawili. Huyu mmoja nililala nae nikampa ujauzito. Lakini yule wa kwanza kama ndo nawamini zaidi na ninampenda japo hajui kwamba nimempa mimba...
Kuna tabia ya kuchungulia.msg.nk..si mbaya na si ubaya.utarajie haya majibu unapochukua namba toka simu ya.mumeo na kupiga kwa yule una hisi awara
1)UMEMALIZA
2)SIMU YA KWAKO
3)ULIJUA UKO...
Ukiacha wale wenye matatizo ambayo muda mwingine inawapelekea kukaa hospitali labda miezi miwili au mmoja kabla ya kujifungua.
Ila kuna hii mtu miezi mitatu kabla hajajifungua anahamia kwa...
Wangapi na wangapi wamejenga majumba lkn hawakuyakalia wamekusanya mali lakini hawakuzila na wengine wamezila lakini hawakushiba.
Ulizaliwa na mama yako ewe mwanaadamu huku unalia na watu pembeni...
Wakuu mimi nilikuwa nimemaliza shule ya msingi mwaka 1997,mapambano primary School, mjini Dsm. Nilikuwa nasoma na Mtoto mmoja mkali sana yaani mzuri wa sura. lakini kipindi hicho alikuwa rafiki...
Niliposema babe simama we uliendaaa,nimeamini wewe sio binadamu ni kinyongaaa,nimedanganywa na uzuri wa nje ndani unatokotaa,na umeniponda kwa nguzo iliyozungushwa miba nguvu tenaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.