Jamani mimi mwenzenu napata shida saana kwani bunduki yangu ndogo sina uhakika kama itamtosheleza mwenza wangu.
Nashindwa kushiriki tendo kwa kuhofia kumboa.
Naombeni ushauri wenu.
Mimi ni mwalimu nafanya kazi katika jiji la Mwanza natafuta mchumba ambae yuko tayari kuolewa sasa mimi ni mkristo. awe na umri kuanzia miaka 22 mpka 30. awe na kz au hana haina shida. akitoka ktk...
Mimi ni mtumishi serikalini nipo Mwanza, lonely familia yangu ipo Mbeya natafuta rafiki wa story na kubadilishana mawazo kushare lonely experience.Interested PM
Habari wana JF,
Naomba niulize swali kwa wataalam waliobobea kwenye mahusiano, hivi msichana akikeketwa hisia za mapenzi zinatoweka au inakuwaje? Naomba majibu tafadhali.
Habari zenu wana bodi. Natumai mko salama na mnaendelea na minyukano ya kimaisha.
Story ni ya kweli isome kwa utaratibu afu nijuze nini nifanye.
Miaka 5 iliyopita nilikuwa mjini nikiwa najitegemea...
Ndoa huwa ina Stage 4 bana:
1. MKWARA STAGE
-Mwaka wa Kwanza wa ndoa ulivyo mtamu.Hapa bado wapya ni full kujishaua,kila mahali mko wote,Unawahi kurudi home,Kabla hujapika unaulizahubby...
Hii ni hadithi iliyowahi jitokeza na hata Youtube ipo. Ni ile hali ambayo mwanamke na mwanaume wananasana wakati wa ngono na hasa kama mwanamke ni mke wa mtu. Mchezo huu nasikia ni ufundi wa...
Mtu anapopatwa na maumivu ya mapenzi ama msiba ni kipi hasa humuuma kati ya roho na moyo?Maana utamsikia mtu akisema roho inaniuma sana au moyo unaniuma sana. Mimi nikijaribu kuyafikiria maumivu...
Habari wana Jf,
Niliweka habari humu ndani kipindi cha nyuma nikiwa natafuta mke mwema na asiye na degree na nikaleta mlejesho kuwa nimeshampata, nimekaa na huyu mdada tukiwa tunachati hadi saa...
Ni kijana ninaesoma chuo kimoja hapa jijini Mbeya. Natafuta Msichana(18yrs-30yrs) wa ukweli ambae tutasukuma haya maisha ya chuo. Awe mwanafunzi au Mfanyakazi(Sio za ndani).
Mi ni mrefu.
Sio...
Mke wangu katoka kuniona hospitali nimelazwa. Nilimpa nauli ya daladala kwenda nyumbani ambapo angetumia saa moja tu. Angetembea kwa miguu angetumia saa mbili.
Lakini pamoja na kumpa nauli...
Natafuta na Nahitaji mwanamke mwenye kujielewa, mkweli, mwenye true love, anayejuakupenda na kuthamini kupendwa anayejua nini maana ya mahusiano naamini age ni namba tu but age yangu ni 26 old am...
Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba...
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepoa saaana.
Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini.
Au...
Wakaka na wadada kwa namna yoyote epuka kutumia lotion au mafuta ya kujipaka ambayo yanaulainisha mwili na kuwa laini kama kodoro au papai lilioiva sana ambalo ukilibonyeza alirudi.
Zipo lotion...
Wanajukwaa,
Najaribu kuelezea maisha yetu kama waafrika japo sitaonesha mpangilio mzuri lakini kwa kutumia akili ya kawaida tu unaweza kuelewa nini nimesema.
Hapa nawasilisha kwa namna ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.