Kama unampenda mtu usijaribu kumchunguza

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
463
Reaction score
319
Wakuu natumaini mko poa napenda kujitokeza kuwapa hali niliyonayo kwa sasa.

Nilitokea kuwa katika mahusiano mwanamke flani maeneo haya ya kwetu baada ya kusafiri kwa muda niliporudi nikakuta katembea na jamaa hapa mtaani kwa vile nampenda nikamuuliza akalia lia bila kusema chochote.

Kwa vile nimeshatembea na wanawake nje nimepiga sana nikaona sio issue nimsamehe maisha yaendelee sababu kosa moja aliwezi kufuta mema yote.

Chaajabu nachokiona mpaka naandika uzi huu mwanadada kawa mpole sana hakuna simu wala message,desturi yetu kuonana kila siku haipo tena na ni week ya pili hatujaonana.

Waungwana naweza kukomaa nae au nichape mwendo nahisi kama kapagawa

Note: Hawa watu wakimya wa kulia lia si wa kuwaamini kivile nahisi kama kaumbuka vibaya sana,mwezi mmoja unashindwa vumilia.
 
ndugu wala ata usishangae sana yashanikutaga ivyo sema ndo ivyo nimekata tamaaa mapenzi siku izi sitaki tena bora uwe mwenyewe tuuu haya mapenzi yanaweza kukuua but anyway life finds its wayss
 
mkuu
ulikabiliana vipi na hali kama hii??nahisi kama namwonea huruma sababu namjua kiundani sana.
 
Daaah huyo mtafute ana kwa ana myaongee mfate kwao/kwake ujue mini mkinaendelea
 
Kuchunguza ni lazima. Haina mjadala.
Credibility check.
 
Wakuu natumaini mko poa napenda kujitokeza kuwapa hali niliyonayo kwa sasa.

Nilitokea kuwa katika mahusiano mwanamke flani maeneo haya ya kwetu baada ya kusafiri kwa muda niliporudi nikakuta katembea na jamaa hapa mtaani kwa vile nampenda nikamuuliza akalia lia bila kusema chochote.

Kwa vile nimeshatembea na wanawake nje nimepiga sana nikaona sio issue nimsamehe maisha yaendelee sababu kosa moja aliwezi kufuta mema yote.

Chaajabu nachokiona mpaka naandika uzi huu mwanadada kawa mpole sana hakuna simu wala message,desturi yetu kuonana kila siku haipo tena na ni week ya pili hatujaonana.

Waungwana naweza kukomaa nae au nichape mwendo nahisi kama kapagawa

Note: Hawa watu wakimya wa kulia lia si wa kuwaamini kivile nahisi kama kaumbuka vibaya sana,mwezi mmoja unashindwa vumilia.

Ameshakuacha huyo aibu yake
 
Back
Top Bottom