Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,380
Reaction score
19,279
Mimi sioni logic kabisa kwa mfano mmeenda kabisa eneo la tukio eti unaona ukianza mautundu wewe kama mtoto wa kike basi utaonekana malaya nop my dear.

Kwanza mpaka wewe ufike pale eneo la tukio either Lodge au Guest house au nyumbani kwa jamaa tena chumbani jua tayari uko stage nyingine kabisa acha kujitia utoto wewe kila siku unataka kubakwa? Hata nyie mlioolewa kila siku unataka mapambano ya kuvuana nguo ili iweje?

Na sio kuvua wewe mwenyewe mvue wewe hata kama sio mara zote basi walau mara moja moja haya kama unataka kuvuliwa uwe na nguo chache na nyepesi.

Sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa! Kwanini usibakwe wewe?

Muanze jamaa kuwa mtundu jamani yaani kusubiri kila siku kubakwa unalala na jezi kitandani.

HUTA ENJOY MAPENZI MPAKA UNAINGIA KABURINI
 
Last edited by a moderator:
sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una ski tight nxani yake kuna chupi khaa kwanini usibakwe wewe???
muanze jamaa kuwa mtundu jamani

yaani kusubiri kila siku kubakwa unalala na jezi kitandani HUTA ENJOY MAPENZI MPAKA UNAINGIA KABURINI

8fc37cac2fa5dd5a4e086044fa699be6af0ed39f7f38e970d72a5a9fb5a6c61c.jpg

RRONDO umemuona Ndito?
 
mods naona mme edit uzi hahahhaa naona mnafatilia kwa ukaribu msiugeuze te a zaidi ya hapo mtaaribu kabisa maudhui😜😜😜
 
hata mimi nashangaa kwa nini nafanyaga hivyo... labda nakuwa sikumbuki kile kilichonipeleka pale ... au sijui natakaiwa kufanya tendo gani... au nakuwa siamini kama kweli nafanywa matusi leo........ au kuanza inaweza pelekea nisidekezwe........ila kuringa ringa inautamu wake......
 
umeona hilo tu
mwambie manzi yako asivae makoti kitandani kama kuna baridi nunua blanket nzito hahah pisi moja tu kitandani inatosha hahha

Smh! Hakuna noma mbona, anaweza kuvaa tu hata hilo koti with a bra na boyshort kwa ndani. Mbona kama unatuongelea wakati sisi ndio ilitakiwa tulalamike?

1658820.jpg
 
hata mimi nashangaa kwa nini nafanyaga hivyo... labda nakuwa sikumbuki kile kilichonipeleka pale ... au sijui natakaiwa kufanya tendo gani... au nakuwa siamini kama kweli nafanywa matusi leo........ au kuanza inaweza pelekea nisidekezwe........ila kuringa ringa inautamu wake......
my dear unaringaje??? hili ndo swali na swala kubwa? weeee kuwa mtundu kuringa ringa achia watoto fanya kazi tena kwa utundu wa hali ya juu lile ni eneo lako usifiche ujuzi wako hata kidogo... sasa ukauoneshe wapi wakati pale ndo eneo la tukio
kama una point 10 za jikoni na zinahitanika 50 kwa ujumla basi una uwezo wa kupata 40 zote eneo hilo ukicheza vizuri mpenzi
yaani unafika unaanza kukata kucha?????????? atakuvumilia siku ya kwanza siku ya pili atakubaka siku ya tatu atakutafutia msaidizi
usitafute mchawi
 
hata mimi nashangaa kwa nini nafanyaga hivyo... labda nakuwa sikumbuki kile kilichonipeleka pale ... au sijui natakaiwa kufanya tendo gani... au nakuwa siamini kama kweli nafanywa matusi leo........ au kuanza inaweza pelekea nisidekezwe........ila kuringa ringa inautamu wake......

Water! Water!
 
Back
Top Bottom