Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikua najiuliza kwanini utakuta jamaa ni player kinyama lakini siku ya siku ukija wakati wa kuoa huoa mwanamke wa kawaida sana.!Nikaamua kufanya uchunguzi. Nilicho gundua ni kwamba ukifika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanaukumbi, Nimekua nikiona mara kwa mara mara wajawazito wanapojifungua huanza kwenda na either mama mtu mzima bafuni na huko hukaa muda mrefu sana na maji huwa ni ya moto sana kama ya...
2 Reactions
85 Replies
29K Views
Habarini wandugu. Mwenzenu nina tatizo ambalo linanikosesha raha kwa kweli kila ninapokuwa na mahusiano hayadumu kabisa na sielewi tatizo nini. Nikijitazama nipo mrembo, mcheshi na sina makuu...
1 Reactions
150 Replies
14K Views
Habari za humu wapendawa, Ni msichana umri miaka 23,nahitaji mme mwema mwenye kujitambua umri miaka 26-35. Alie tayari ani pm
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nawasalim wote, Ijumaa nili share na nyinyi masahibu yaliyonikuta kati yangu na mke wangu kwa ambae hakuusoma naomba arejee post hiyo katika thread hiyo niliwaambia kwamba kulikua na msafara wa...
35 Reactions
117 Replies
11K Views
Hi wadau wageni kwa wenyeji, Ts been a long time.hope mko powa. Back to main topic; Karibuni kushare uzoefu wenu kuhusu kupeana SPACE/NAFASI kwenye mahusiano,lets say mahusiano mmegombana...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Kuna msichana aliibuka tu whatsaap bila mimi kumfahamu, akadai ananifahamu siku nyingi isipokua mimi ndo nimemsahau, kila nilipojaribu kuvuta hisia kujaribu kumkumbuka hesabu zinakataa nikasema...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
- Nina umri wa 32 - Sijaolewa, sina mtoto - Mkristo mkatoliki - Nina elimu ya chuo - Mwajiriwa Serikalini - Nina hofu ya Mungu ndani yang. Natafuta mwanaume ambaye na yeye anahitaji mwenza kama...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Je umetelekezwa na mume/ mchumba/ boyfriend na amekuachia mtoto ambaye hamtunzi na wala hamjali? Nimejitoa Kuwa sadaka kwa watoto wapweke wasio na baba. Wajibu wangu utakuwa Kuwa karibu na mtoto...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
I'm 50 by December, natafuta mtu 30-50 yrs old.Iam in UK nina kazi siyo ya box. Haya lete habari
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tafadhali, Mimi ni mwalimu wa secondary, najua yupo anaenifaa humu. Ni pm kama upo tayari
0 Reactions
5 Replies
2K Views
10. Does Your Car Really Matter? Brands communicate your status, right? Actually, it turns out, not really. These ladies mostly just care that you have one. And even worse than not having enough...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanamke akifunga pini kwenye nywele au sehemu yoyote ya mwili wake wakat wa kufanya sex jogoo la mwanaume haliwez simama kamwe,,et kuna ukwel hapa?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jana niliwaletea uzi hapa kuelezea ni namna gani ninavyowazimikia mademu wenye vigugumizi....wapo walioniponda kwa maneno ya kuudhi na wengine hadi wakani PM ili tu kunitukana. lakini hiyo siyo...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu, Kiukweli mimi huwa navaa boxer na wakati imwingine chupi za kawaida lakini kiukweli nikiwa nimevaa boxer huwa siko comfortable kabisa kama naziona kama zimekaa kikekike. Je, ni vazi gani...
0 Reactions
59 Replies
17K Views
Ni kweli kuwa mwanamke akikaa wiki kadhaa bila kufanya mapenzi mfano labda kaenda likizo au semina au kaamua tu kukaa bila kuwa na rafiki wa kiume sehemu zake za kike hujirudi na kuwa taiti...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
b BOY mura kutoka musoma natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo awe na umri kati ya miaka 18-23 Karibuni no 0757693949
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninaomba wataalam na wazoefu wa mambo haya wanisaidie kwa hili, ni kweli watu wanaofanya mazoezi makali sana na ya muda mrefu wana matatizo ya kuchelewa kufika kileleni? Kama ndvyo ni kwa nini...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Habari, Nipo Dubai natafuta mwanamke wa kuchat nae na kubadilishana mawazo. Kama Uko Dubai, Sharjah, Deira ni PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu zangu ziwafikie popote mlipo, Sina mengi zaidi ya kuwauliza hawa vidume wenzangu hawa,tunapo kuwa na wenzi na kuhitaji kale ka mchezo huwa tuko wepesi sana kuwaparamia na kuwavua pichu...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom