Sijajua nifanye nini kwa msanii huyu?

Sijajua nifanye nini kwa msanii huyu?

Tugb

Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
16
Reaction score
2
Na demu wangu mmoja hivi ni msanii mkubwa tu, lakini vimbwanga vyake ni noumah.

Utakuta wakati mwingine nikitaka kumpiga picha mfano ana taulo atataka aache maziwa wazi au kama kajisahau hivi au nikicheki simu yake ana picha za utupu alizojipiga na simu yake haina password na watu hushika simu yake,kusema kwamba anataka jina lake likue kutoka na na picha zake au?

Nilikuwa nawahurumia wasichana wanaovujishiwa picha zao za utupu lakini nilichogundua ni kwamba ni wao wenyewe wanazivujisha ii wapate jina kwenye magazeti.
 
Haaaaaaa kweli mkuuu huyu atakuwa shilole,Shishi baby
 
we jamaa pamoja na PhD uliyoshindwa unalalamikia mademu tu
 
Na demu wangu mmoja hivi ni msanii mkubwa tu, lakini vimbwanga vyake ni noumah.

Utakuta wakati mwingine nikitaka kumpiga picha mfano ana taulo atataka aache maziwa wazi au kama kajisahau hivi au nikicheki simu yake ana picha za utupu alizojipiga na simu yake haina password na watu hushika simu yake,kusema kwamba anataka jina lake likue kutoka na na picha zake au?

Nilikuwa nawahurumia wasichana wanaovujishiwa picha zao za utupu lakini nilichogundua ni kwamba ni wao wenyewe wanazivujisha ii wapate jina kwenye magazeti.

Ziweke humu tuzione
 
Back
Top Bottom