Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wapendwa natumai muko vyema na majukumu ya kila siku. Ukweli kua kwa siku 4 sasa mi na mke wangu tumekua madui na Tunaishi kama mtu na mke mwenzake baada ya kua mtu na mkewe.Tatizo kubwa...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Mchumba wa kike 0754458485
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Tafadhali rafiki ndugu najamaa wote, Usitumie namba 0759919873 endapo huna jambo la maana na lenyekujenga.Toa hoja ya maana kwakutumia hekima na busara. Pia ileweke namba hyo si kwaajili ya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
What most girls don't know about boys (players),, is that: They do anything to keep their heart safe.. But when they fall they fall hard.. Bruno Mars sang a song about about catching a grenade...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkaka wa kuchange ideas anahitajika, mimi binti wa 21yrs, if you are here just pm me. Thanx guys
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kike ambaye yuko Mbeya ilatu awe anayejielewa mambo mengine tutashauriana. Ambaye atakua tayari ani pm
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Nahitaji binti mwenye sifa zifuatazo: 1. Mrefu but sio saana. 2. Blackbeauty, mweupe, maji ya kunde. awe na kashepu, si manyama uzembe. 3. Umri 18-24 4. Awe anajua maisha, so mtu wa kuwaza club...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
gggggggggggggg
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ewe binti mrembo.Tambua kua wewe bado ni binti mdogo sana.Umri wako hujafikisha hata miaka25.Kwanini unakata tamaa ya kuolewa?Kwanini unakosa mtu sahihi kwako ambae atakua mwenzi wako wa maisha...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa, Naomba kuuliza. Kwanini vijana wengi siku hizi hasa vijana wa jinsi ya kike wanapenda sana hela na tamaa ya mali? Why hawana uvumilivu wa maisha wanapenda mteremko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
VIpi mkeo akiwa Mbunge na kuwa anatolewa out tena nje ya nchi na vigogo na kutoa penzi. Utavumiliana naye? Maana mke wangu anagombea, nifanyeje?
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari za humu jamani natafuta bnt miaka 18-25 mwenye mapenzi ya kweli na muaminifu atakae kua tayari kufunga ndoa hapo baadae pls 0715655508: Nipo dar es salam Sent from my BlackBerry 8520 using...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu ndani ya Daladala. Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia. Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika...
17 Reactions
222 Replies
22K Views
natafuta mchumba wa kike aliye muislam anaeishi zanzzibar umri kuanzia miaka 20-45 alieko serious na hili naomba sana uwe serious katika hili ili tuweze kuondosha ubabaifu katika jamvi kwa maelezo...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Habari wapendwa wanajukwaa, Mimi bado sijaingia kwenye ndoa ila nategemea kutangaza nia pale muda utakapofika, lakini kuna swala linaniumiza kichwa hususani ninapofikiria suala la Kwanini...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Sio kila mpenzi wako Anayeomba mrudiane Anamaanisha! Wengine huomba kurudi Ili Wakutesti tu jinsi ulivyo mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo rahisi na huna misimamo wala future. Mtu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani swala la ushoga na usagaji na mapenzi kinyume na maumbile limezidi kukua kwa kasi ya ajabu sana. Hata Mbuzi, Kuku, Mbwa na wanyama wengine sijawahi kushuhudia wakipandana wakiwa wote na...
12 Reactions
111 Replies
16K Views
Hodi! Nataka kupata rafiki moja ambaye angependa kuzungumza nami kwenye facebook katika kiswahili. Ningependa kujua zaidi kuhusu tofauti yetu ya jamii na siasa nk., na pia kufanya mazoezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Jf, Naandika hapa mpaka nasikia kufa. Nimezaliwa katika familia ya watoto watatu kwa mama yangu ingawa baba ana familia nyingine so my mom ni kama mke mdogo. Toka nakua familia yangu...
5 Reactions
116 Replies
12K Views
Habari ya wakati huu Great Thinkers. Leo naomba niongee kidogo na wadogo zangu wa kike, (kama mtu mzima mwenzangu unafanya haya tafadhali acha mara moja). Hivi karibuni niliangalia muvi moja...
3 Reactions
143 Replies
14K Views
Back
Top Bottom