Mambo wana Jf?
Nahisi mko poa na polen na machofu ya majukum ndio maisha ilimrad tu yaende.
Karibuni tujadili hapa Mm ni kijana wa kawaida tu kuna msichana wa hapa hapa mtaani yeye hupenda sana kunipigia simu haijalishi saa nyengine ni mida mibovu ( ile ya 5&6 night) tatizo lake hupenda sana kunilaum hv ni kwanini nampotezea?
Sipendi kumpigia ata kumsalimia vile vile hupenda kuniuliza baada ya salam tu (mara oooh VIPI WALIONIZIDI NA WAO HAWAJAMBO?)
Mara ooohh cjui WIFI hajambo wakat anajua ata cjaoa bado had nikagundua apa kuna kitu c bure na mm kam mwanaume nilitaka kufanya yangu nika wish kumshushia Chorus ila moyo ukanisuta maana hawa watu hawaeleweki.
Ndio maana wanasema GIRLS ARE LIKE CHINESE MOBILE HAVE NO GUARANTEE na ndio maan had sasa nikaona bora nikimye tuu!
Ahsanteni!