naitwa joh
Umri 20
Mkristo
Kabila ni mnyaturu
Naishi dar tabatasegerea
Friend of lowasa/ukawa
Mcheshi
Mkweli
Msafi
Nina akili ya maisha
Najua kuthamini
Nahitaji kupendwa na binti awe na umri...
February, 2014
Ndani ya ndege.
Shirika la Usafiri wa Anga Ethiopian Airlines.
Maongezi ya Megan na mama yeke wakitokeya Lagos Nigeria walipoenda kuhudhuria ibada katika kanisa la...
Anayejua aniambie nini maana ya neno hili na kwa nini kabila hili liliamua kujiita hivyo.
Huku kwetu kuna mfugaji mmoja wakisukuma hata wenyeji hasa wanawake wanaogopa kumwita kabila lake...
Hivi ndugu zangu vijana wasasa tunaoana siku mbili tu tunaachana.SWALI:Je,ni kweli hivi sasa watu wanapendana au wanatamaniana tu.Maana ndoa hazidumu kabisa tofauti na wazee wetu.
Habari wanaJf wazima wote?
Ningependa kuuliza je kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba mkiwa hamjafunga ndoa ya kidini/kimila.
Je, hii inahesabika ni ndoa au style hii ya maisha na inaitwaje...
Ndugu wana MMU,
Nimepata msichana hapa Sengerema mtoto wa Kisukuma mzuri sana kuliko wote niliokutana nao. Nikasaka namba zake nikapata ndo tukaanza kuwasiliana. Kwa kuwa mimi ni mwalimu hapa...
Wakuu,
Nimetokea kupatwa na hili tatizo limebadilisha mfumo wangu kwa watu ninaoingiliana nao nimekuwa navutiwa na jinsia ya kike kuliko kiume katika shughuli mbalimbali za kijamii.
Msaada...
Wakuu ni kitambo sana kuingia humu naishia jukwaa la siasa tu leo nmeona nikupen hi!
naamin mko poa kabisa na ujenzi wa Taifa
have a nice w/end much lov u!
wako
Loyda
Salaam wanajamii,
Ni asubui tena tunamshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku sita.Leo siku ya saba imetupasa kumshukuru kwa uhai aliotupa na kumwabudu kama alivo amuru hapo mwanzo baada ya uumbaji...
Nina mwaka wa nne sasa huku Zanzibar ila kuna kitu kinanisikitisha sana. Katika misele yangu kama kijana nimeshuhudia kiwango kubwa sana cha mabinti wenye umri mdogo wakiwa wameachika mbaya zaidi...
Jamani kuna jamaa yangu anaomba ushauri, yeye yupo mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar na mchumba wake kamaliza sasa kapata Scholarship ya kwenda kusoma China sasa je aendelee kumsubiri ama apige...
Wana Jf,
Nina mpenzi wangu ambae nampenda sana nae anadai ananipenda lakini tunaweza kukaa hata mwezi m1 alafu nikimwambia namuitaji kimapenzi huwa anakataa kabisa anadai eti anaogopa hii...
Hivi ikatokea mtu ambae alikutoa bikira anarudi anakuomba mechi na unakuta umeolewa au una mpenzi wako.
Je, utampa mechi au utamtolea nje?
Zamani nlikua napata tetesi kua mwanamke ukimtoa bikira...
SIFA ZA MTAFUTA MCHUMBA
>Mweusi
>Mnene wastani
>Urefu ni 158cm
>Mkristo
>Mtumishi wa serikali
>Naishi morogoro
>Umri 30
SIFA ZA MCHUMBA ANAYETAFUTWA
>Mweupe wa asili au maji ya kunde
>Umbo la...
natafuta rafiki wa kike, asizidi miaka 27 asipungue miaka 23, awe mkristo mwenye hofu ya Mungu ndani yake, itapendeza kama atakuwa mikoa ya DSM, pwani au Moro, awe na mtizamo chanya wa kimaisha...
Guys, Hola!
Nimekuwa nikijua sigara sasa ni mwaka wa saba , mara ya kwanza nilikuwa navuta kwa kujifurahisha (smoking for fun),lakini sasa nimebobea kabisa.
Nilijiunga na chuo kikuu cha Dar Es...
Salaam wakuu
Mie jinsia ni ME, Nimedumu na mpnz wangu ss mwaka wa tatu, tuliahidiana mwaka juz tulipokua tunaenda vyuoni kwamba tukimalza tutaoana
Yeye kwa sasa kaajiliwa bt mm nimedisco, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.