Moudaricious
Member
- Jul 9, 2015
- 5
- 0
Habari wana Jf
Nina rafiki yangu amesalitiwa Mara tano na mpenzi wako tangu 2013 cha ajabu mwanamke anayemsaliti nae kila siku ni huyo huyo.
Je, ana mapenzi ya kweli kwa best yangu na je huyo mwanaume anastahili kumuoa.
Tafadhali naomba ushirikiano wenu na si kunikosoa.