Wanandoa Kulala na Night Dress

Wanandoa Kulala na Night Dress

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
Wanandoa kulala wakiwa wamevaa night dress kuna uzuri au ubaya gani? Naomba tujadili kwa mitizamo ya aina tatu:-
1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.
 
utamaduni wa mwafrica ni baba ana nyumba yake ya kulala na mama ana yake. suala la kulala pamoja na night dress hakuna.
 
simone_perele_nightdress.jpg

1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Tick
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Tick
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Tick
eva-pink-duck-to-size-product-main1.jpg

Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Joto bana!
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Depends on makubaliano na mitazamo ila ....
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Hii nzuri kuvalia ukweni hahahaha
 
Nadhani ungeanza wewe mtoa mada kutoa maoni yako kwanza kabla watu hawajachangia. Au we sio mwafrika?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna night dress hasa za wanawake zinachangia kuongeza mihemuko. Waulize wanasaikolojia wa mapenzi watakuambia. Unapoliona t.a.ko au hips ikiwa kwenye transparent night dress kwenye chumba chenye mwangaza mdogo hasa wa rangi ya njano, pink au red akili inakuwa aroused zaidi na kufigure out its image and appearance in the mind. Ni kama chachandu kwenye mihongo ya kukaanga
 
ndio maana inahusu wanandoa,sasa mke alale na Kanga na mtisheti
hapana.......
mihogo bila chachandu haina mshawasha!!!!!!!!
 
Kuna night dress hasa za wanawake zinachangia kuongeza mihemuko. Waulize wanasaikolojia wa mapenzi watakuambia. Unapoliona t.a.ko au hips ikiwa kwenye transparent night dress kwenye chumba chenye mwangaza mdogo hasa wa rangi ya njano, pink au red akili inakuwa aroused zaidi na kufigure out its image and appearance in the mind. Ni kama chachandu kwenye mihongo ya kukaanga
Vipi unapoliona t.a.k.o live haliongezi mihemuko? Napata ugumu kuliamini hili.
 
simone_perele_nightdress.jpg

1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Tick
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Tick
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Tick

Wee Mwali haya mambo ya kunyegeshana saa hizi wikienda bado bhana!
 
Last edited by a moderator:
[/COLOR]
eva-pink-duck-to-size-product-main1.jpg

Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Joto bana!
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Depends on makubaliano na mitazamo ila ....
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Hii nzuri kuvalia ukweni hahahaha

Hii aivae akiwa siku za mfungo ili ujumbe ufike tusije haribu mashuka bureeee!
 
utamaduni wa mwafrica ni baba ana nyumba yake ya kulala na mama ana yake. suala la kulala pamoja na night dress hakuna.

Haswaaa! Me nimekuwa nikiona hvyo! Kwa utamaduni wa kiafrika mzee anakuwa na nyumba yake mwenyewe na mama anakuwa ana share nyumba na watoto.
 
Vipi unapoliona t.a.k.o live haliongezi mihemuko? Napata ugumu kuliamini hili.

Mkuu in plain thinking you won't understand it, in the power of psychology it is very true. The psychological desire and drive is triggered by curiosity. Psychologists confirmed that there is no curiosity for obviously known phenomenon.
 
Mmmmmh! Waafrika wa wapi wanofanya hivi??

Wewe wa jana nin?

jamii nyingi za kiafrika ziko hvyo! Jaribu kufatilia mila na desturi za makabila mbali mbali hapa tz utaelewa.
 
Back
Top Bottom