Haki ya nani leo nimenusurika kidogo tu

Haki ya nani leo nimenusurika kidogo tu

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Jamani hii sheria iliyoanza kutumika leo kwa kweli imenikosa kosa kidogo sana......story iko hivi......jana nilichepuka kwa mchepuko wangi ambao ni njia kuu ya jamaa flani, sasa baada ya kumaliza mastaili yooooote tena wote tukiwa na kinywaji kichwani....tukaamua kuanza ujinga, yeye akatoa wazo kuwa aukwee mnazi halafu mi niwe nachukua picha ya video ili leo nimtumie......he......c ndo nikakumbuka ile sheria imeanza kufanya kazi leo...... kwa jinsi ambavyo video ilikuwa, hakika naamini ningefungwa miaka mingi sana
 
huyu nae ni GT kwel jf kama kwa mama kifusi bibo!
 
Mkuu kufungwa si mpaka akushtaki ama??..Mana mi hadi sa hii napokea mi picha tu..nisije nikawa nakiuka sheria
 
Jamani hii sheria iliyoanza kutumika leo kwa kweli imenikosa kosa kidogo sana......story iko hivi......jana nilichepuka kwa mchepuko wangi ambao ni njia kuu ya jamaa flani, sasa baada ya kumaliza mastaili yooooote tena wote tukiwa na kinywaji kichwani....tukaamua kuanza ujinga, yeye akatoa wazo kuwa aukwee mnazi halafu mi niwe nachukua picha ya video ili leo nimtumie......he......c ndo nikakumbuka ile sheria imeanza kufanya kazi leo...... kwa jinsi ambavyo video ilikuwa, hakika naamini ningefungwa miaka mingi sana

Hakuna kesi mpk mlalamikaji akushtaki afu uchunguzi, na mpk ukutwe na hatia!
 
Galadudu story zako raha sana ww kila siku vituko tu.... asante
 
Hivi huyu jamaa hua ni Pepo??
Mbona story zake zote zimejaa nuksi, uzinzi, uongo, ulaghai, ubabaishaji, porojo na uasherati...
 
Basi mrudie muumba wako maana nasikia hata kutongoza kwa sms au call ni kosa. Kama unampenda mfate kwao myazungumze
NTAMWANDIKIA BARUA HII MAMBO YA KUKAMATWA NA TCRA NA KUWEKWA LOKAPU MIMI SIWEZI KABISA...😛ray2:
 
kama ulimwita Baby wakati ni mama na watoto wake nyumbani sheria bado itakutafuna tu amna namna
 
Back
Top Bottom