dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Alitembea na mpenzi wake wa zamani kama kuagana baada ya muda akiwa kashaolewa anagundua ni mjamzito kufanya utafiti anagundua mimba ni ya mpenzi wake wa zamani.
Sasa anaomba ushauri amwambie au afanyaje kutatua tatizo kwani amekonda kwa mawazo.
Sasa anaomba ushauri amwambie au afanyaje kutatua tatizo kwani amekonda kwa mawazo.