Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wakuu, Tujadili hili jambo kidogo je, ni sahihi kwa mwanaume kumhudumia mwanamke kabla hujamuoa?
0 Reactions
74 Replies
12K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nipo single natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja. Umri usizidi miaka 25. Kama upo tayari njoo PM fasta sana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Natafuta marafiki wa kike kutoka Arusha, good friend only girls mliopo Arusha. Pls pm me.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nitafurahi to have those nice friends
0 Reactions
0 Replies
758 Views
"Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng?ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanajamvi, Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa...
0 Reactions
119 Replies
17K Views
Habari Wana JF.... Kumekua na topics once in a while hapa MMU of guys complaining kua Kila mwanamke amtongozae anakataa…. Or kuna wengine ambao ni vice versa na husema kua wanawake wamekua rahisi...
33 Reactions
832 Replies
94K Views
Wanaukumbi, Mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa huwa yanapambwa na kupatikana watoto. Furaha huongezeka pale nyote wawili mnapokuwa hamna mashaka kuwa watoto waliopatikana ni wa nani. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu? Kwa uwezo wa MUNGU natumain nyote mu wazima. Mi ni mgeni humu kwa kuleta post ila ni mwenyeji sana wakusoma post za watu mbalimbali humu tangu enzi za mwalimu. Sasa...
0 Reactions
72 Replies
17K Views
Leo jioni nilienda kumpa pole ya msiba rafiki yangu alifiwa na mama yake baada ya story za hapa na pale tukaulizana habari ya maisha haswa ya ndoa yeye ameolewa Morogoro tangu aolewe ni miaka...
1 Reactions
81 Replies
12K Views
Kama kuna kitu cha kuogopwa kuliko vyote duniani basi ni binadamu....binadamu ni kiumbe wa kushangaza sana anaweza kucheka nawe machoni lakini rohoni ana lake baya kabisa analokusudia...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Mwenzenu nimeghumiwa ukweli nime fall in love kwa 3 na wote wananipenda babkubwa, hawajuwani lakini ukweli nataka nibaki na mmoja tu. wote ni wazuri kwa kuoa na for sure najiskia tabu hata nukta 1...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari wakuu, Kumekua na tabia ya wazazi kuwapeleka watoto wenye umri wa kuanzia miaka 7 na kuendelea katika shule za bweni. Hiyo tabia imekua kwa kasi hasa katika familia za wazazi wenye uwezo...
1 Reactions
47 Replies
13K Views
Habari wanajamvi? Kama kipato changu ni cha kawaida tu, lakini umri unakwenda bado sijabahatika kupata mwenza. Nifanyeje?
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wana jamvi nawasalim, Mwaka 2013 nilitokea kumpenda Dada mmoja hapa kazini kwetu, alikua ni kiongozi ktk moja ya idara za hili shirika letu, hatukua tunafahamiana personally isipokua kwa...
3 Reactions
177 Replies
24K Views
Kama hujawahi kuhongwa ewe mtoto wa kike utadumu kwenye ndoa kweli? Hata kama umewahi kuhongwa, je, ni kiasi gani? Sio uwe umehongwa chips mayai na chenji kidogo tu. Mwanamke aliye wahi kuhongwa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna binti nilikuwa namfuatilia, ana miaka 24. Tulikuwa pamoja, kiumri ni mdogo wangu kama wa nne hivi. Familia yetu na yake zimeshibana, hata mama yake alinilea nikiwa mdogo. Kama mnavyojua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanatumu you are my hope my strength you give me reasons to work hard to cherish you in every way you give me courage and i promise my heart will always belongs to you only you makes me...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Anajina zuri sana ambalo linaweza kumvutia mwanaume yeyote yule. Sio jina tu, hata yeye ni mzuri pia! Tizama mcho yake yalivyo makubwa, rangi ya ugoro, yenye mboni ya rangi nyeusi ya kuiva. Ona...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom