Hata mabeki tatu bado wanakugomea?
Unatongozaje kwa mfano.
Usiwe bahili siku hizi pesa ndio muongeaji mkuu,tafta wanawake wa level yako ambao unaweza kumudu kuwagharamia.
Simu zimerahisisha mambo, omba namba ya simu kisha omba mtoko,omba game ni rahisi sana mbona mkuu.
Kama shida ni ngono nunua malaya timiza shida zako, pia ni rahisi inapunguza usumbufu maana ukimaliza mmemalizana hakuna cha kutaftana tena labda wewe utake.
Siku hizi hakuna sanaa ya utongozaji, sanaa ni pesa tu mkuu.
Nakushauri ukae hivyo hivyo tu.
Wengine tunatamani kutokua na wapenzi wewe unawataka. Usitulie tu, pambana aisee,hawa wanawake wameumbwa kwa watu wote sio utuachie tu wengine, komaa upate wako.